Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Sasa ikishuka ikafika 144pixel
[emoji23]Tutakuua ikikwama
Siyo matusi pekee. Huoni hapo juu wamesema watamuua ikikwama kwama. Kuua inaweza ikawa ngumu ila lazima matv wayapasue.Haiwezekani. Kama tu 4g nipo peke yangu na kuna muda inaskratch sembuse bandani watu tumejaa. Halafu inakuwa nyuma kwa dkk kadhaa. Ila afcon yote me nilistream vizuri tu.
Utakula matusi ukimbie.
Sijawahi kutumia smile sema Vodacom nawaelewa zaidi mara zote natumia kustream mechi kwenye apple tv.Uzuri wa haya mambo ni kama vile ulivyosema kuna mechi hazioneshwi kwenye DSTV lakini unaweza ipata kwenye sites.Nataka nifungue biashara ya kuonesha mpira live ligi na makombe ya ulaya.
Nimekua nikifikira kununua dekoda 2 za dstv na vifurushi vyao ila nikawaza hui gharama naweza kuikwepa kwa kutumia laptop, website za mechi live na internet ya smile 4g niwe nazirusha mechi live kwenye flat screen mbili na hii itakuwa sio gharama.
Je, kuna changamoto zipi nazoweza kuzipata nikitumia internet kuoneshea mechi
Hahah hapa kuna ukweli, mashabiki wa man u wasije kunivunjia tv zangu, ila chief umewahi kuwatumia hawa smile??, wana spidi kiasi cha kustream hata mechi 5 kwa mpigo na nimejaribu hii, ila huenda watu wakijaa network unaweza kusumbua.Sio reliable, Mashabiki wenye hasira Kali wanaweza kuvunja TV ikianza kunata nata hasa timu ikiwa imefungwa. Na unaweza unaangalia mpira mwenyewe ikaonesha fresh tu Ila watu wakijazana kwenye Banda signal nazo zikaanza kuleta tabu na speed kudrop.
Kuna jamaa wa canal watu wanatumia Bei zao Ni affordable.
Pia DStv Wana DStv now unaweza ukajaribu kwa decoder moja na service ya DStv now uangalie Kama online inaweza kuwa nzuri.
Canal Ni 40,000 ama 50,000 kwa mwezi, na Kama mikoa ya baharini inapatikana nafkiri Tanzania nzima itakuwepo sababu tunaibia hii satellite toka Congo.Hahah hapa kuna ukweli, mashabiki wa man u wasije kunivunjia tv zangu, ila chief umewahi kuwatumia hawa smile??, wana spidi kiasi cha kustream hata mechi 5 kwa mpigo na nimejaribu hii, ila huenda watu wakijaa network unaweza kusumbua.
Hawa canal ndio nawaskia kwako, kwa huku mikoani sijawai kuwasikia, bei zao vp
Sio reliable, Mashabiki wenye hasira Kali wanaweza kuvunja TV ikianza kunata nata hasa timu ikiwa imefungwa. Na unaweza unaangalia mpira mwenyewe ikaonesha fresh tu Ila watu wakijazana kwenye Banda signal nazo zikaanza kuleta tabu na speed kudrop.
Kuna jamaa wa canal watu wanatumia Bei zao Ni affordable.
Pia DStv Wana DStv now unaweza ukajaribu kwa decoder moja na service ya DStv now uangalie Kama online inaweza kuwa nzuri.
Nataka nifungue biashara ya kuonesha mpira live ligi na makombe ya Ulaya.
Nimekua nikifikira kununua dekoda 2 za dstv na vifurushi vyao ila nikawaza hui gharama naweza kuikwepa kwa kutumia laptop, website za mechi live na internet ya smile 4g niwe nazirusha mechi live kwenye flat screen mbili na hii itakuwa sio gharama.
Je, kuna changamoto zipi nazoweza kuzipata nikitumia internet kuoneshea mechi
Chengine kinachokwamisha Ni umbali wa server, hata utumie fiber yenye 1ms ping ukistream kitu ama ukicheza game na server IPO marekani ping inakuja 100+ na sometime inakwenda Hadi 300 ama zaidi.nunua moja ya pili tumia DSTV now!
maana cgangamoto ni kupata reliable stream....kuna streams lazima upate buffering regardless ya network
Kama upo eneo lenye network nzuri sioni shida, mfano naangalia live stream za Samsung, Apple kwenye TV 1080p bila stutter kwa kutumia Vodacom 4g, nafanyaga video conference na Skype bila shida... Kitu ambacho nimeona kinaletaga shida ni nikiwa najaribu kuangalia content za 4k au 4k hdr kwenye Netflix hapo ndio naonaga kuna buffering.
Tatizo tu litakuwe bei ya vifurushi so bora hiyo DStv au mtoa huduma mwingine.
Hapa naweza kucheki channel 2 kwa dekoda moja, kwenye dekoda niweke supersport 3 na kwenye laptop nicheki supersport 4?Nunua moja ya pili tumia DSTV now!
Maana changamoto ni kupata reliable stream. Kuna streams lazima upate buffering regardless ya network.
wana estimate 1.2GB/hr kama ukitazama kwa 720p
View attachment 1216566