Bei ya mchele kwa kule haitofautiani sana na ya viazi.Wananunua pesa ngapi . . ? Hawana import restrictions za vyakula?
Mkuu, nakuona nakuona. Aisee thanks for sharing this 'wake-up' call. I have comrades in Lusaka. I will explore on that.Kuna mtu ambae anaweza kupata viazi vitamu akavipeleka Lusaka akachukua hela yake ya maana tu!?
Thanks much. Nice to see you too mkuu. How are you brada, uko poa?Nice to see you bro
Thanks much. Nice to see you too mkuu. How are you brada, uko poa?
Afu I will shoot you a PM. Wanna know something from you, on personal basis.
-Kaveli-
Yap broh! What's good out there!?Mkuu, nakuona nakuona. Aisee thanks for sharing this 'wake-up' call. I have comrades in Lusaka. I will explore on that.
-Kaveli-
Liza ,Bei ya mchele kwa kule haitofautiani sana na ya viazi.
Mwaka jana watu waliokuwa wanapeleka mchele kutoka mbeya walikuwa wanapeleka na viazi vile vile halafu wakifika kule wanauza kwa bei moja.
gunia la 70kg walikuwa wanauza kwa 600ZMK-700ZMK, sijajua kwa mwaka huu bei zitakuwaje.
Kuhusu import restrictions nafikiri ni kibali tu cha biashara.
Yap broh ... What's good out there!?
Huyo mjomba Fanya kumshtua akupe details zote kabla ramadhani haijaisha.
Nafikiri kwa sasa hivi 1ZMK=240TSH.Liza . . ,
1 ZMK ni TZS ngapi . . ?!
That's how is supposed to be! I will be waiting to hear his response from you.No news mkuu wangu, we still kicking. Hustling on progress!
Yep, nitacheki naye asap anipe details kuhusu hiyo kitu in Lusaka.
Cheers brada.
-Kaveli-
Picha yako inaonekana unalia kabla hata hujaianza Biashara au ndo ushahisi hasara.Wana Jukwaa kwema? Hebu tusaidiane hapa jambo moja. Napenda sana hii biashara ya kusafirisha mazao nje ya nci, sijawahi kuifanya lakini naona kama vile ni field nzuri kwangu. Je ni zipi changamoto zake? Nimepata baadhi ya taarifa kwamba kuna baadhi ya nchi zinahitaji sana mazao ya Tanzania nchi kama Japan, China, India, Oman, South Africa na kwingineko.
Naona kuna fursa hapa, hebu tujadiliane tuone nini tunaweza kufanya kwa pamoja. Kumbuka Information is POWER.
Ina MAANA kubwa Sana hio Picha, haya weka maujanja hapa ya Exports tukapige pesa mbele Kwa mbelePicha yako inaonekana unalia kabla hata hujaianza Biashara au ndo ushahisi hasara
1zmk = Tzs 238.Liza . . ,
1 ZMK ni TZS ngapi . . ?!
Jamaa wa nchi jirani wanafanya Export ya kufa mtu, why not Tanzania??
Aisee hii sera ya kinoko sana....mfano umeambiwa mteja wako amepata branch ya uzalishaji uongezee idadi ya tani unaanza upya tenayaani huu ndo urasimu
kiasi (tani) vipi kama nini sema ntakuwa na export ufuta tani 2 ila soko likakuwa nikapata mteja mwngine inamaana natakiwa nianze kufatilia tena kibali badala ya kukusanya mzigo serekali ijiangalia kwa hili.
Changamoto ya mafanikio usikate tamaa kaza buti songa mbele mpendwa.Changamoto yake kubwa ni urasimu wa Serikali
Nilipata Dili flani la kupeleka Mzigo Mwingi tu Commoro nikakusanya Nguvu za Jamaa zangu Kama wawili tukakusanya Mtaji wetu mdogo tu Kama 20 Million.
Tukashauriwa Tufuate Vibali halali
Tu kaanza kuelekezwa tuanze board of external Trade, huko ikapigwa Danadana twende Chamber of Commerce kule wakatueleza kazi yao ni kutoa Vibali tu tukitaka kujua kitu gani kinaruhusiwa kipi hakiruhusiwi twende Wizara ya Mifugo au Kilimo ndio wenye orodha ya Mazao yanayoruhusiwa kusafirishwa Nje ya Nchi!
Niliwauliza wale Watu wa Chamber of commerce pale Kwny Barabara ya Morogoro na Samora ( PPF House) kwanini hiyo orodha ya vitu vinavyoruhusiwa kwanini wasikae nayo pale kupunguza Urasimu Jibu wanatoa huo ndio utaratibu 'Mzee usilete Ujuaji fuata taratibu'
Tulipofika Wizara ya Kilimo ndio balaaa Urasimu mpaka tukaamue tusafirishe kienyeji