Biashara ya Kusafirisha Mazao Nje ya Nchi: Jifunze Utaratibu wa Kufuata, Changamoto, Faida na Uzoefu wa Wengine

Biashara ya Kusafirisha Mazao Nje ya Nchi: Jifunze Utaratibu wa Kufuata, Changamoto, Faida na Uzoefu wa Wengine

Wananunua pesa ngapi . . ? Hawana import restrictions za vyakula?
Bei ya mchele kwa kule haitofautiani sana na ya viazi.

Mwaka jana watu waliokuwa wanapeleka mchele kutoka mbeya walikuwa wanapeleka na viazi vile vile halafu wakifika kule wanauza kwa bei moja.

gunia la 70kg walikuwa wanauza kwa 600ZMK-700ZMK, sijajua kwa mwaka huu bei zitakuwaje.

Kuhusu import restrictions nafikiri ni kibali tu cha biashara.
 
Bei ya mchele kwa kule haitofautiani sana na ya viazi.

Mwaka jana watu waliokuwa wanapeleka mchele kutoka mbeya walikuwa wanapeleka na viazi vile vile halafu wakifika kule wanauza kwa bei moja.

gunia la 70kg walikuwa wanauza kwa 600ZMK-700ZMK, sijajua kwa mwaka huu bei zitakuwaje.

Kuhusu import restrictions nafikiri ni kibali tu cha biashara.
Liza ,

1 ZMK ni TZS ngapi?
 
Yap broh ... What's good out there!?

Huyo mjomba Fanya kumshtua akupe details zote kabla ramadhani haijaisha.


No news mkuu wangu, we still kicking. Hustling on progress!

Yep, nitacheki naye asap anipe details kuhusu hiyo kitu in Lusaka.
Cheers brada.

-Kaveli-
 
Mkuu hii nchi ina ukiritimba na urasimu ktk kutoa vibali mbalimbali. Kuna sheria au utaratibu wa kuomba kibali cha kuvuta gari yako mbovu ktk barabara kuu zilizo chini ya tanroads.

Sasa tatizo kupata hicho kibali cha kutoka mkoa mmoja hadi mwingine unaambiwa utumie mfumo wao upo online na huo mfumo ni wa ajabu ajabu sio rafiki kwa mtumiaji na hauna option za kujaza kibali cha kuvuta magari bali vipo vya kusafirisha tinga tinga au gari zingine zinazo bebwa na zile za flatbed truck.

Ukienda ofisi zao wakusaidie wote hawajui kitu wanasema wewe nenda kajaze tu hivyo hivyo kuna maelekezo ya kufanya hukohuko. Hadi TANROADS makao makuu hakuna mtu wa kukusaidia na hawajui. Na wanasema inabidi kibali lazima uombe na kulipia online au uende makao makuu.

Sasa jiuluze mtu yupo Kigoma anataka kuipeleka gari Tabora je ni lazima aje Dar kama akishindwa kutumia mfumo?
 
No news mkuu wangu, we still kicking. Hustling on progress!

Yep, nitacheki naye asap anipe details kuhusu hiyo kitu in Lusaka.
Cheers brada.

-Kaveli-
That's how is supposed to be! I will be waiting to hear his response from you.
 
Wana Jukwaa kwema? Hebu tusaidiane hapa jambo moja. Napenda sana hii biashara ya kusafirisha mazao nje ya nci, sijawahi kuifanya lakini naona kama vile ni field nzuri kwangu. Je ni zipi changamoto zake? Nimepata baadhi ya taarifa kwamba kuna baadhi ya nchi zinahitaji sana mazao ya Tanzania nchi kama Japan, China, India, Oman, South Africa na kwingineko.

Naona kuna fursa hapa, hebu tujadiliane tuone nini tunaweza kufanya kwa pamoja. Kumbuka Information is POWER.
Picha yako inaonekana unalia kabla hata hujaianza Biashara au ndo ushahisi hasara.
 
yaani huu ndo urasimu
kiasi (tani) vipi kama nini sema ntakuwa na export ufuta tani 2 ila soko likakuwa nikapata mteja mwngine inamaana natakiwa nianze kufatilia tena kibali badala ya kukusanya mzigo serekali ijiangalia kwa hili.
Aisee hii sera ya kinoko sana....mfano umeambiwa mteja wako amepata branch ya uzalishaji uongezee idadi ya tani unaanza upya tena
 
Changamoto yake kubwa ni urasimu wa Serikali
Nilipata Dili flani la kupeleka Mzigo Mwingi tu Commoro nikakusanya Nguvu za Jamaa zangu Kama wawili tukakusanya Mtaji wetu mdogo tu Kama 20 Million.

Tukashauriwa Tufuate Vibali halali

Tu kaanza kuelekezwa tuanze board of external Trade, huko ikapigwa Danadana twende Chamber of Commerce kule wakatueleza kazi yao ni kutoa Vibali tu tukitaka kujua kitu gani kinaruhusiwa kipi hakiruhusiwi twende Wizara ya Mifugo au Kilimo ndio wenye orodha ya Mazao yanayoruhusiwa kusafirishwa Nje ya Nchi!

Niliwauliza wale Watu wa Chamber of commerce pale Kwny Barabara ya Morogoro na Samora ( PPF House) kwanini hiyo orodha ya vitu vinavyoruhusiwa kwanini wasikae nayo pale kupunguza Urasimu Jibu wanatoa huo ndio utaratibu 'Mzee usilete Ujuaji fuata taratibu'

Tulipofika Wizara ya Kilimo ndio balaaa Urasimu mpaka tukaamue tusafirishe kienyeji
Changamoto ya mafanikio usikate tamaa kaza buti songa mbele mpendwa.
 
Back
Top Bottom