Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
Bei ya mchele kwa kule haitofautiani sana na ya viazi.Wananunua pesa ngapi . . ? Hawana import restrictions za vyakula?
Mwaka jana watu waliokuwa wanapeleka mchele kutoka mbeya walikuwa wanapeleka na viazi vile vile halafu wakifika kule wanauza kwa bei moja.
gunia la 70kg walikuwa wanauza kwa 600ZMK-700ZMK, sijajua kwa mwaka huu bei zitakuwaje.
Kuhusu import restrictions nafikiri ni kibali tu cha biashara.