King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Dah lolote ndani ya huo linawezekana kaka .
Ila mimi mwishoni mwa 2019 ndipo ukaribu wetu ulipoishia hivyo sijajua yuko wapi na ana issue gani ,sababu last time nilikuwa nazungumza na mdogo wake yupo hapo bandari naye hataki kusikia habari za kaka yake hivyo hakunipa majibu yoyote kuhusu nduguye zaidi ya kusema hana habari zake na hataki kuzisikia
Ukimya ule sidhani kama issue ni mjegeje kaka ,unajua yule mzee wa chato hapo mjini aliharibu sana mifumo kiasi cha wanetu wengi kukimbia mji na wengine kuamua kuwa loy key ,maana ilikuwa ni jinai kuonekana una hela ambazo hazina mfumo mzuri wa kueleweka kaka .Huyo atakuwa kalimwa mjegeje ndiyo maana katulia tulii ,kwa pesa alizokuwa nazo halafu ni "WA KWETU kina BASHAIJA" lazima angekuwa na vurugu town ,kwakuwa mwanamme MASHINE na yeye hana MASHINE anakosa POWER.
Ni kweli enzi na Jiwe wadau walikuwa Low Key na wengine walishift the Capital(walikimbia nchi) ila Jiwe alivyurudisha namba ,wadau wakarudi kwenye ramani kama kina Lugumi ,Jahcarhire ,Jaki Unguja etcUkimya ule sidhani kama issue ni mjegeje kaka ,unajua yule mzee wa chato hapo mjini aliharibu sana mifumo kiasi cha wanetu wengi kukimbia mji na wengine kuamua kuwa loy key ,maana ilikuwa ni jinai kuonekana una hela ambazo hazina mfumo mzuri wa kueleweka kaka .
Nadhani kaamua kuwa kimya tu ila suala la kukatwa mjegeje niko fifty fifty sababu chawa wake alinihakikishia sio kweli siku zile za trending hiyo kwa asilimia zote japo lisemwalo lipo kama halipo linakuja .
Ila mtoto wa kaishozi uwe na hela alafu ukae kimya kabisa hivi akina rugemalilra ,kaumbya na bishanga wasijue kuwa unazo inafikirisha sana kiukweli
Dah hatari sana ,sema hi kwa Jack unguja mwambie Nyoka anauliza anaishije ?Ni kweli enzi na Jiwe wadau walikuwa Low Key na wengine walishift the Capital(walikimbia nchi) ila Jiwe alivyurudisha namba ,wadau wakarudi kwenye ramani kama kina Lugumi ,Jahcarhire ,Jaki Unguja etc
Kabisa ukimya wake una kitu kilichomfanya na lisemwalo la MJEGEJE nalo kama inaendana hivi maana ukiwa mtu wa bata batani na una "MAWE" lazima Mabebezi wakufate na mabebezi wanachoweza kukuoffer ni Mzigo ,so anahofia akirudi kwenye ramani spotlight halafu MJEGEJE kwishney atakuja kuabishwa na warembo na siri kuvuja.
๐๐๐๐๐๐๐pole sana mkuu.Dah ndiyo maana kayumba the doctor aliona mambo yasiwe mengi akamtema mwanetu ,mara Nay akajitutumua nyimbo mbili naye akala kona ila sanaaa๐
Nikampata msanii mmoja kijijini sana akasema ana wimbo ameshoot kwa gharama zake na watu wanampenda sqna ,sasa anataka afanye show hapo hapo kijijini ila mimi nigharamikie kila kitu na mwisho kuanzia hapo nitakuwa manager wake .
Huku na huku naona wanakijiji wanamkubali sio mchezo ,masikini mimi mtoto wa chole mizimuni naipe da hela nikaamua nijiingize kichwa kichwa ,mabango ,DJ mavazi na takataka zote ulizosema kwa makubaliano hela yangu itarudi baada ya show na hapo nitakula faida na yeye nitampa chochote kitu ila nitaendelea kummanage .
Matangazo kata nzima ,nikazama Tunduma nikawabeba wadada wacheza uchi waje wafanye mazoezj na msanii wangu ili siku hiyo watoe sebene la kufa mtu .
Wakakubali juma zima wanakula na kunywa hela yangu huku mazoezi ya kufanya dhambi jukwani yanaendelea .
Nikapanga gharama za kiingilio kulingana hiyo siku ni siku ya wakulima hivyo nikajua watu wana hela hawawezi kupiga chenga .
Dj kakubali kupiga kazi kwa nusu gharama pamoja na wanenguaji ili tukimalizq nilipe gharama zinazobaki .
Siku ya tukio niko ndani ya suti kali MR meneja nazunguka huku na kule kuhakikisha jambo halikwami ,ila dunia hii tembea kote ila hakuna watu wanafiki kama wanavijiji ,kila waliposikia matangazo na bado na kadi za mualiko nilitengeneza kwa maneno ya pokeeni show ya mtoto wenu mzione kazi za mtoto wenu mumbariki na hakika walinipa maneno mazuri nikawa nawaza haya mahela nikiyapata nitawakomoa aisee .
Siku ilipowadia ,sehemu ya kuingia watu walau Mia nne kulingana na hesabu za haraka ili nipate kurudisha gharama zangu walikuwa watu sabini na hao wanaingia wanatoka hakuna utulivu na bado walioko nje wanadai wanasubiri fungulia mbwa usiku ukifika ๐
Nikawaza DJ ananidai ,wadada wanenguaji wanadai ,team zote hizo zilikula sehemu kwa mama mmoja muuza chakula nako nadaiwa laki na nusu .
Nikakumbuka na vinywaji vya msanii na wenziye walikunywa ili kupata mzuka ,nikicheki bado ulingo hausomeki nakumbuka by saa tano usku niliwasha kamkweche kangu taratibu nikaaga naelekea nyumbani nichukue vitu fulani ikawa njia ya kukikimbia kijiji nikazima na simu nikaenda bar fulani kunywa pombe ili niweke akili sawa .
By saa kumi na moja nikarequest chumba nikalqza fuvu ili nijue kutakucha vipi ,saa mbili nipo job namuona DJ kwa mbali na wenziye wanakuja ofisini ikabidi niwambie washikaji kuwa watimulie mbali hao jamaa sitaki kuonana na mtu .
Simu nawasha kumpigia ninayemtaka ila baadaye nikaona ni ujinga ilibidi niwatafute tukae meza moja tuzungumze ili yaende sawa.
Ila siwezi kusahau yale manjegeka aisee ,unachosema brother Hance Mtanashati sina cha kuongeza zaidi nakusecond kwa kusema ile ni biashara kichaa kabisa
Nikikumbuka Pnc alivyokuwa anapigishwa magoti. ๐๐๐๐๐๐๐๐Ostaz juma na musoma aliwasaidia sana wasanii kipesa ,kina suma mnazareti ,janjaro ,pnc etc
AiseeNasikia alifanyiwa kitu mbaya huko china ,walimkata "MJEGEJE"
Kuna taarifa kwamba mfanyabiashara maarufu wa Dar es Salaam Ajulikanaye kwa jina la Mzamir hivi sasa hana tena uume baada ya kufanyiwa unyama wa kutisha huko China. Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa mfanyabiashara huyo, Mzamir alitekwa na watu ambao inadaiwa aliwahi kuwatapeli madini huko Dar na baadaye wakamuwekea mtego ili aende China ambako alijikuta theatre akiwa hana uume. Aliokotwa akiwa hajitambui akakimbizwa hospitali ambako jamaa walichofanya ni kuzuia bleeding na kutibu kidonda. Naambiwa sasa hivi hana raha na nyodo zote zimemuishia.
- MzeePunch
- Replies: 111
- Forum: Celebrities Forum
Hata hao bodaboda unaosema wengi wanakuwa wamelipwa.Kuna nyimbo zinaweza kwenda viral kwa BODA BODA au BAJAJI , DALADALA
Kuna vipaji vya mziki na Kuna biashara ya muzikii
Biashara kichaa.Mziki bongo hauna hela
Hatari kaka๐๐๐๐๐๐๐pole sana mkuu.
Hahahaha nimecheka kama Comedy vile.Dah ndiyo maana kayumba the doctor aliona mambo yasiwe mengi akamtema mwanetu ,mara Nay akajitutumua nyimbo mbili naye akala kona ila sanaaa๐
Nikampata msanii mmoja kijijini sana akasema ana wimbo ameshoot kwa gharama zake na watu wanampenda sqna ,sasa anataka afanye show hapo hapo kijijini ila mimi nigharamikie kila kitu na mwisho kuanzia hapo nitakuwa manager wake .
Huku na huku naona wanakijiji wanamkubali sio mchezo ,masikini mimi mtoto wa chole mizimuni naipe da hela nikaamua nijiingize kichwa kichwa ,mabango ,DJ mavazi na takataka zote ulizosema kwa makubaliano hela yangu itarudi baada ya show na hapo nitakula faida na yeye nitampa chochote kitu ila nitaendelea kummanage .
Matangazo kata nzima ,nikazama Tunduma nikawabeba wadada wacheza uchi waje wafanye mazoezj na msanii wangu ili siku hiyo watoe sebene la kufa mtu .
Wakakubali juma zima wanakula na kunywa hela yangu huku mazoezi ya kufanya dhambi jukwani yanaendelea .
Nikapanga gharama za kiingilio kulingana hiyo siku ni siku ya wakulima hivyo nikajua watu wana hela hawawezi kupiga chenga .
Dj kakubali kupiga kazi kwa nusu gharama pamoja na wanenguaji ili tukimalizq nilipe gharama zinazobaki .
Siku ya tukio niko ndani ya suti kali MR meneja nazunguka huku na kule kuhakikisha jambo halikwami ,ila dunia hii tembea kote ila hakuna watu wanafiki kama wanavijiji ,kila waliposikia matangazo na bado na kadi za mualiko nilitengeneza kwa maneno ya pokeeni show ya mtoto wenu mzione kazi za mtoto wenu mumbariki na hakika walinipa maneno mazuri nikawa nawaza haya mahela nikiyapata nitawakomoa aisee .
Siku ilipowadia ,sehemu ya kuingia watu walau Mia nne kulingana na hesabu za haraka ili nipate kurudisha gharama zangu walikuwa watu sabini na hao wanaingia wanatoka hakuna utulivu na bado walioko nje wanadai wanasubiri fungulia mbwa usiku ukifika ๐
Nikawaza DJ ananidai ,wadada wanenguaji wanadai ,team zote hizo zilikula sehemu kwa mama mmoja muuza chakula nako nadaiwa laki na nusu .
Nikakumbuka na vinywaji vya msanii na wenziye walikunywa ili kupata mzuka ,nikicheki bado ulingo hausomeki nakumbuka by saa tano usku niliwasha kamkweche kangu taratibu nikaaga naelekea nyumbani nichukue vitu fulani ikawa njia ya kukikimbia kijiji nikazima na simu nikaenda bar fulani kunywa pombe ili niweke akili sawa .
By saa kumi na moja nikarequest chumba nikalqza fuvu ili nijue kutakucha vipi ,saa mbili nipo job namuona DJ kwa mbali na wenziye wanakuja ofisini ikabidi niwambie washikaji kuwa watimulie mbali hao jamaa sitaki kuonana na mtu .
Simu nawasha kumpigia ninayemtaka ila baadaye nikaona ni ujinga ilibidi niwatafute tukae meza moja tuzungumze ili yaende sawa.
Ila siwezi kusahau yale manjegeka aisee ,unachosema brother Hance Mtanashati sina cha kuongeza zaidi nakusecond kwa kusema ile ni biashara kichaa kabisa
Maisha kaka ,tunajifunza kupitia mengi mkuu wanguHahahaha nimecheka kama Comedy vile.
Eti meneja ukatinga suti kisha ukawakusanya wadada wale wanaocheza uchi kama bonge la dada,sehemu ya kuingia watu 400 wakaingia watu 70 kisha wengine wanasubiria fungulia mbwa.
Pole sanaDah ndiyo maana kayumba the doctor aliona mambo yasiwe mengi akamtema mwanetu ,mara Nay akajitutumua nyimbo mbili naye akala kona ila sanaaa๐
Nikampata msanii mmoja kijijini sana akasema ana wimbo ameshoot kwa gharama zake na watu wanampenda sqna ,sasa anataka afanye show hapo hapo kijijini ila mimi nigharamikie kila kitu na mwisho kuanzia hapo nitakuwa manager wake .
Huku na huku naona wanakijiji wanamkubali sio mchezo ,masikini mimi mtoto wa chole mizimuni naipe da hela nikaamua nijiingize kichwa kichwa ,mabango ,DJ mavazi na takataka zote ulizosema kwa makubaliano hela yangu itarudi baada ya show na hapo nitakula faida na yeye nitampa chochote kitu ila nitaendelea kummanage .
Matangazo kata nzima ,nikazama Tunduma nikawabeba wadada wacheza uchi waje wafanye mazoezj na msanii wangu ili siku hiyo watoe sebene la kufa mtu .
Wakakubali juma zima wanakula na kunywa hela yangu huku mazoezi ya kufanya dhambi jukwani yanaendelea .
Nikapanga gharama za kiingilio kulingana hiyo siku ni siku ya wakulima hivyo nikajua watu wana hela hawawezi kupiga chenga .
Dj kakubali kupiga kazi kwa nusu gharama pamoja na wanenguaji ili tukimalizq nilipe gharama zinazobaki .
Siku ya tukio niko ndani ya suti kali MR meneja nazunguka huku na kule kuhakikisha jambo halikwami ,ila dunia hii tembea kote ila hakuna watu wanafiki kama wanavijiji ,kila waliposikia matangazo na bado na kadi za mualiko nilitengeneza kwa maneno ya pokeeni show ya mtoto wenu mzione kazi za mtoto wenu mumbariki na hakika walinipa maneno mazuri nikawa nawaza haya mahela nikiyapata nitawakomoa aisee .
Siku ilipowadia ,sehemu ya kuingia watu walau Mia nne kulingana na hesabu za haraka ili nipate kurudisha gharama zangu walikuwa watu sabini na hao wanaingia wanatoka hakuna utulivu na bado walioko nje wanadai wanasubiri fungulia mbwa usiku ukifika ๐
Nikawaza DJ ananidai ,wadada wanenguaji wanadai ,team zote hizo zilikula sehemu kwa mama mmoja muuza chakula nako nadaiwa laki na nusu .
Nikakumbuka na vinywaji vya msanii na wenziye walikunywa ili kupata mzuka ,nikicheki bado ulingo hausomeki nakumbuka by saa tano usku niliwasha kamkweche kangu taratibu nikaaga naelekea nyumbani nichukue vitu fulani ikawa njia ya kukikimbia kijiji nikazima na simu nikaenda bar fulani kunywa pombe ili niweke akili sawa .
By saa kumi na moja nikarequest chumba nikalqza fuvu ili nijue kutakucha vipi ,saa mbili nipo job namuona DJ kwa mbali na wenziye wanakuja ofisini ikabidi niwambie washikaji kuwa watimulie mbali hao jamaa sitaki kuonana na mtu .
Simu nawasha kumpigia ninayemtaka ila baadaye nikaona ni ujinga ilibidi niwatafute tukae meza moja tuzungumze ili yaende sawa.
Ila siwezi kusahau yale manjegeka aisee ,unachosema brother Hance Mtanashati sina cha kuongeza zaidi nakusecond kwa kusema ile ni biashara kichaa kabisa
MhPole sana
Hongera kwa usubutu
Eee๐ ulikua unapambana hela ziongezeke ila ndio hivyo hukupata uliichotaka wanakijiji wakaharibu mchongo ๐
Ila maisha ๐Eee๐ ulikua unapambana hela ziongezeke ila ndio hivyo hukupata uliichotaka wanakijiji wakaharibu mchongo ๐
Njee ya mda ili ujue pesa tamu hasa ukiipata baada ya kupambana sanaIla maisha ๐
Watu wenye miili midogo na pia wafupi ni watu wana status anxiety na muda mwingine kwa maelezo ya huyo jamaa yako ana poverty anxiety namaanisha ni wale wamekulia maisha magumu ambayo kumiliki gari kwake anaona ni utajiri .Njee ya mda ili ujue pesa tamu hasa ukiipata baada ya kupambana sana
Kuna mtu mmoja namfahamu alinunua gar last year mwishoni na ndio gari yake ya kwanza baada ya stragle kwa mda mlefu ka nunua Harrier tena sio mkononi kaagiza
Sasa jana kuna sehem nilikua tukakutana akanipa lift time ya kurudi home na ilikua usiku jamani jamaniii๐ akikatiza bodaboda anatukana we mse*** toa takataka mbele yangu na wakati pkpk ndio ulikua usafiri wake nimeshangaa namna amebadilika sana ana dharau watu anaendesha kwa sifa na vile ana mwili mdogo anajitutumua huyo๐๐๐ PESA PESA PESA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE AMEN