Biashara ya kusimamia wasanii ni biashara kichaa usithubutu kuwekeza pesa zako huko

Malaya wakateketeza vijipesa 😂

Mkuu nilichagua kutulia sikumwambia chochote maana mimi mwenyewe hata mkokoteni sina
ila tu nilimwambia aendeshe vizuri asinivunje miguu bure😂

Ila mkuu na wewe ndio ulitaka kuwapandia watu kicwani😂😂🙌
Kuna msemo pata pesa tujue tabia yako✅️
Halafu huyu jamaa hata hafanani na gari yake utazani ameazima 😁
 
Mimi ukweli sikuwa mgeni wa hela wala vijimali vile vya mzee ila kila nilipokuwa nikiangalia umri wangu na wengine watu wazima ni hapo nikawa nasikia sauti ikisema wewe kukanyaga chini ni kujitakia ilibidi ubebwe kama sultani 😀

Nilipambana sqna na hiyo roho ya kujiona mpaka inakuja kunitoka tayari vikao vya ndugu ni vingi kuniuliza nilipoweka hela
 
Vikao vya ndugu Hehe na imagine wala wazee wa familia kijana Pesa ipo wap? wewe tena pesa ipi😁

Hongera kwa kushinda hiyo roho ya kujisikia

Mie nikizipata nitatimiza hiyo ndoto yako ya kubebwa kama sultani
 
Vikao vya ndugu Hehe na imagine wala wazee wa familia kijana Pesa ipo wap? wewe tena pesa ipi😁

Hongera kwa kushinda hiyo roho ya kujisikia

Mie nikizipata nitatimiza hiyo ndoto yako ya kubebwa kama sultani
Na wazee wa kizaramo si unawajua kwa maneno na midomo yao ilivyo michafu ? Basi mwenzio nilichambwa nikachambika ila haikuwa kesi kikubwa niluzitumbua .

Na hali hiyo imeniachia uoga sana nikipita UDSM au pale mikasa river side lazima roho istuke maana hela ziliishia kwa watu wa mungu wa pande hizo
 
😁😁🙌 aisee sio mbaya lakn maisha lazima yaendelee
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ukisikia pata pesa tujue tabia yako halisi ndio hiyo sasa.
 
Pole sana mkuu... una kipaji cha kusimulia na kupangilia matukio... hii ni dunia usimwamini binadamu
i biashara kichaa kabisa

Pole sana brother pia una
 
Vitoto vya chuo pale vinatoa utamu sana aisee
 
Unasemaje msanii anatumika kukuza bidhaa ya mfanyabiashara wakati pia msanii ana percentage yake hapo au unafikiri ni kazi nyepesi kuwekeza kwenye biashara
 
Vp kuhusu ushirikina, nasikia bongo hadi utoboe kimziki sangoma lazima ahusike tufungukie kuhusu hilo man, ulishuhudia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…