Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Upungufu wa chakula Nyanda za Juu Kusini? Wapi huko?Sasa ni kwa nini huwa kuna upungufu wa chakula?
Huwa namtamania sana Super Loaf, mate wake umekuwa moja kati ya mikate bora sana jijini Dar, watu wa kati wengi wanainunua. Brand yake imekaa mahali pake tayari.
Si kusini, huku kwingine inafikia bei ya mahindi na mchele kuwa juu kutokana na kuadimikaUpungufu wa chakula Nyanda za Juu Kusini? Wapi huko?
Kusini ya wapi?Si kusini, huku kwingine inafikia bei ya mahindi na mchele kuwa juu kutokana na kuadimika
Kwa mfano, ukianzisha karakana ndogo ya furniture; tatizo litakuwa wapi?kwa bongo yetu hii inabidi uwe na mtaji mkubwa na uhakika wa soko.
wengi wanakimbilia biashara za uchuuzi kwasababu biashara za kuzalisha zinachangamoto nyingi za kufeli ukilinganisha na kuagiza lonya za China na kuziuza.
Mfano kwa sasa hivi, gunia la mahindi linauzwa bei gani huko kusini?Kusini ya wapi?
50-60,000Mfano kwa sasa hivi, gunia la mahindi linauzwa bei gani huko kusini?
Malighafi ipi inayochakatwa na kuwa bidhaa?na machangudoa unawaweka kundi gani la biashara .maana nao wanatengeneza na kuuza
ile sehemu isipo lishwa na kutunzwa unazani faida itakuwepo kwa madumeMalighafi ipi inayochakatwa na kuwa bidhaa?
50-60,000
Wavivu wengiSasa ni kwa nini huwa kuna upungufu wa chakula?
ni jambo zuri sana.nipe hints chache za soko na namna ya kushusha gharama za kuzalisha bidhaa?.Kwa mfano, ukianzisha karakana ndogo ya furniture; tatizo litakuwa wapi?
Natumia approach yako ila kwenye kuwaza hizo tshirts ulikosea mimi hata nisingejaribu hata kuziwaza. Hata uwe malaika, huwezi zalisha nguo Tanzania ukawa na competitive price dhidi ya anayeagiza China. Kuna factors nyingi za kiuchumi na kisiasa hukuanza kuziwaza.Uko sahihi ila ndani ya TZ kwa anayeanza kujitafuta namshauri aanze na uchuuzi. Huko mbeleni akiwa imara kifedha ndo aanze kutengeneza na kuuza. Pia kabla ya kutengeneza ajiulize kuhusu ujuzi wake, raw materials, na running costs zote. Kwa kifupi afanye feasibility study. Mimi mwaka 2018 nilitaka kushona Tshirts zangu niwe nauza nikakutana na kikwazo kikali cha raw materials. Yaani Fabrics tu zikawa bei ghali kiasi kwamba hadi umalize kushona Tshirt na kuweka bei tayari unakuwa huwezi kushindana sokoni na wale wanaoagiza China au India.
Kweli nilibugi mno kurukia hiyo biashara bila kufikiria vizuri na kutafiti. Maelezo yako ni mazuri ila kwa bahati mbaya umeshindwa kabisa kuficha upumbavu wako hapo nilipo-bold.Natumia approach yako ila kwenye kuwaza hizo tshirts ulikosea mimi hata nisingejaribu hata kuziwaza. Hata uwe malaika, huwezi zalisha nguo Tanzania ukawa na competitive price dhidi ya anayeagiza China. Kuna factors nyingi za kiuchumi na kisiasa hukuanza kuziwaza.
Pia faida ya kuanza kuwa mchuuzi ni kuijua market vizuri. Ila sio uwe muuza nguo mfano, alafu hujui lolote kuhusu biashara nyingine.
Uwe unatafiti na kujitahidi kujua kila aina ya biashara na ujue trend na utabiri yajayo. Mfano unajua Magufuli kawa Rais na anapenda sera ya viwanda, na ana uchungu na taifa. Jua ukicheza kwenye vipaumbele vyake sijui sukari na uzalishaji nyama unakuwa safe. Akija Samia unajua ni sherehe na kufuja mali wewe wekeza kwenye hospitality na udalali wa kitaifa au kusafirisha rasilimali, kwa Samia ni rahisi kugawa rasilimali kuliko kuleta kitu kama "Make in Tanzania Initiative".
Then unajizatiti kwenye awamu hiyo ikulee kiasi ukija upepo mwingine haukuondoi kibiashara, unatafuta mazingira pendelevu kwanza ili ukae sawa.
Tumia chuma na mbaoni jambo zuri sana.nipe hints chache za soko na namna ya kushusha gharama za kuzalisha bidhaa?.
Inawezekana kabisa kama mtu akiamuaViwanda, viwanda, viwanda