Afrolink-Tz Consult Ltd
JF-Expert Member
- Feb 25, 2018
- 424
- 950
SACCOS ni kifupi cha neno la kiingereza lijukanalo kama Saving And Credit CO-operative Society. Kwa Kiswahili kizuri ni chama cha ushirika cha akiba na mikopo. Ina maana katika Muongozo wa huduma za fedha, SACCOS ni zaidi ya Microcredit kwa sababu ya huduma itoazo. ie zaidi ya kukopesha. SACCOS inaweka Akiba na vlvl inaruhusiwa kukopesha hivyo inaangukia ktk kundi la Microfinance na Leseni yake inasimamiwa na Benki Kuu "BOT" ktk utoaji wa huduma hizi na miongozo mingine ya kibenkiNaomba kuuliza vip kuhusu izi saccos zetu mitaani huku temeke wananch saccos na zenyewe zinafuata muongozo huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app