Biashara ya Kutoa Mikopo (Microfinance): Hatua, Taratibu za Kufuata na Ushauri wa Uendeshaji

Biashara ya Kutoa Mikopo (Microfinance): Hatua, Taratibu za Kufuata na Ushauri wa Uendeshaji

Naomba kuuliza vip kuhusu izi saccos zetu mitaani huku temeke wananch saccos na zenyewe zinafuata muongozo huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
SACCOS ni kifupi cha neno la kiingereza lijukanalo kama Saving And Credit CO-operative Society. Kwa Kiswahili kizuri ni chama cha ushirika cha akiba na mikopo. Ina maana katika Muongozo wa huduma za fedha, SACCOS ni zaidi ya Microcredit kwa sababu ya huduma itoazo. ie zaidi ya kukopesha. SACCOS inaweka Akiba na vlvl inaruhusiwa kukopesha hivyo inaangukia ktk kundi la Microfinance na Leseni yake inasimamiwa na Benki Kuu "BOT" ktk utoaji wa huduma hizi na miongozo mingine ya kibenki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SACCOS ni kifupi cha neno la Kiingereza lijukanalo kama Saving And Credit CO-operative Society. Kwa Kiswahili kizuri ni chama cha ushirika cha akiba na mikopo. Ina maana katika Muongozo wa huduma za fedha, SACCOS ni zaidi ya Microcredit kwa sababu ya huduma itoazo. ie zaidi ya kukopesha. SACCOS inaweka Akiba na vlvl inaruhusiwa kukopesha hivyo inaangukia ktk kundi la Microfinance na Leseni yake inasimamiwa na Benki Kuu "BOT" ktk utoaji wa huduma hizi na miongozo mingine ya kibenki

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! We jamaa muongo SACCOS zinasimamiwa na Mrajisi wa Halmashauri. Kinachotakiwa mnapeleka Katiba kwa Mrajis na majina ya wanachama basi mnasajili. Hayo mambo ya BOT hayapo
 
Ndio maana utoaji leseni unaendana na kiwango cha mtaji wako ulionao. Mfano mimi mtaji wangu ni elfu ishirini nitaenda kuchukua leseni manispaa kwa sababu biashara yangu ni ndogo, wenye mitaji mikubwa hiyo milioni 500+ ndio wanaenda huko wizarani kuchukua leseni. Consultant nyie ndio kikwazo kikubwa cha watu kusajili kampuni, mkiombwa ushauri jinsi ya kufungua kampuni mnaorodhesha vitu vingi mara sijui Memorandum, mara Tax Clearance, Mara Board of Directors mpaka watu wanakata tamaaa. Ina maana mimi na mke wangu tumeishia darasa la saba wote hatuwezi kufungua kampuni?
Mkuu unajua maana ya kampuni au unasema tuu!! Bila hivyo vitu ulivyovitaja hapo hakuna kampuni haijalishi wewe na mkeo au na nani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah.We jamaa muongo SACCOS zinasimamiwa na Mrajisi wa Halmashauri..Kinachotakiwa mnapeleka Katiba kwa Mrajis na majina ya wanachama basi mnasajili. Hayo mambo ya BOT hayapo
Mkuu inaonekana unauelewa kwenye haya mambo ila elimu hauna. Mwenzio anakwambia kitu ambacho kipo kisheria ila wewe unakataa, siku moja nenda pale BRELA na BOT utapewa muongozo wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unajua maana ya kampuni au unasema tuu!! Bila hivyo vitu ulivyovitaja hapo hakuna kampuni haijalishi wewe na mkeo au na nani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna watu ni mabingwa wa kupenda ligi, hivyo inaondoa hata maana ya Jamii forum kwa sababu wengi wetu tunaamini hii ni moja kati ya "social platform" zinazotoa elimu rasmi juu ya kuyaendea baadhi ya mambo rasmi na sio kijanja janja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu inaonekana unauelewa kwenye haya mambo ila elimu hauna. Mwenzio anakwambia kitu ambacho kipo kisheria ila wewe unakataa, siku moja nenda pale BRELA na BOT utapewa muongozo wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli, vema kwenda mahala husika ukajiridhishe then ulete mrejesho. Kuna rofauti kubwa sana ya kufanya au kumuona mtu akifanya biashara akiwa ktk mfumo usio rasmi na anaefanya biashara ktk mfumo rasmi. Sasa unapomwambia member ukitaka kufanya biashara ktk mfumo rasmi ni vema kujiridhisha ktk taasisi husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna watu ni mabingwa wa kupenda ligi, hivyo inaondoa hata maana ya Jamii forum kwa sababu wengi wetu tunaamini hii ni moja kati ya "social platform" zinazotoa elimu rasmi juu ya kuyaendea baadhi ya mambo rasmi na sio kijanja janja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu, wengine humu wanajua vizuri tu sema wamezoea kupinga hovyo. Na wengine wanafanya kazi km zenu wanataka msipate wateja ila wakienda kwao wanakutana na hayohayo uliyoelekeza wewe. Jamaa kaniacha hoi sana, kampuni bila memorandam?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mkuu, wengine humu wanajua vizuri tu sema wamezoea kupinga hovyo,
Na wengine wanafanya kazi km zenu wanataka msipate wateja ila wakienda kwao wanakutana na hayohayo uliyoelekeza wewe. Jamaa kaniacha hoi sana, kampuni bila memorandam?

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli kabisa. Na vlvl ni vema hata kama mtu anapinga lkn kwa hoja na uthibitisho ila si kwa kupinga ilimradi aonekane anapinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo unazungumzia usajili au namna ya kufanya biashara mtakayo ya kuweka na kukopa? Haya fanya umeshinda Mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nakwambia sasa nimeshiriki kuanzisha SACCOS hakuna mahali pa kwenda BOT. Tatizo umekariri ukisikia kuweka akiba tu , unajua ni BOT ,si kweli,,,,,hata Vicoba wanaweka akiba,na wenyewe wanasimamiwa na BOT? Soma mwongozo wa Saccos a anaesimamia Saccos ni Mrajis tu.
 
Nimepitia comment zote, naomba ufafanuzi toka kwako mleta mada. Ni kipi kinahitajika kusajiliwa na kutolewa leseni kati ya Brela, BOT, na halmashauri kwa kigezo cha mtaji na aina ya biashara (microcredit)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana utoaji leseni unaendana na kiwango cha mtaji wako ulionao. Mfano mimi mtaji wangu ni elfu ishirini nitaenda kuchukua leseni manispaa kwa sababu biashara yangu ni ndogo, wenye mitaji mikubwa hiyo milioni 500+ ndio wanaenda huko wizarani kuchukua leseni. Consultant nyie ndio kikwazo kikubwa cha watu kusajili kampuni, mkiombwa ushauri jinsi ya kufungua kampuni mnaorodhesha vitu vingi mara sijui Memorandum, mara Tax Clearance, Mara Board of Directors mpaka watu wanakata tamaaa. Ina maana mimi na mke wangu tumeishia darasa la saba wote hatuwezi kufungua kampuni?
Wanakutisha uone kitu kipo complicated akupige pesa vizuri.
 
Maelezo kibao yasiyo na kichwa wala miguu sijui ni ya kugoogle. Consultants hata hujawahi kusajili wa kuendesha kampuni ya fedha unatoa notisi za desa tu utafikiri ndio uhalisia.

- Watu wanaanza na mtaji hata wa Tsh 10,000 wanakuza mpaka inafika 5M wanaenda wizara ya viwanda na biashara + BRELA wanamaliza.

Wewe endelea kupiga DESA
Tatizo hao maconsultant wanatoa ushuri wa kitu ambacho hata wao hawana..wanaleta matheory ya darasan kwenye maisha halisi wakat haviendani, binafsi nikiwa na shida ntaenda ofisi husika sio kusikiliza hadith za hawa maconsultant.
 
Iko siku utawaitaji hawa watu sema kwa sasa hujafikia level ya kuwahitaji.

Mimi binafsi nilikuwa siwataki lakini ilifika level uwezi kuwakwepa.

Ukiona huna umuhimu nao jua bado ujaanza biashara bali unacheza.

Mwanzoni watu hawakuwataka hata ma clearing agents, lakini Leo uwezi kutoa mzigo bandarini bila wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom