masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
masharti ni mengi kuliko baishara ya mbao...!!
sana mkuu ndo maana watu wanapenda shortcut
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
masharti ni mengi kuliko baishara ya mbao...!!
Mkuu niko mbioni kuanzisha biashara hii,naomba unielekeze inavyokwenda na changamoto zake.
Mkaa unalipa
Changamoto kubwa ni hawa maafisa misitu na askari barabarani ili kuweza kuufikisha mzigo wako ni lazima uwe na kibali cha kusafirisha au kukata mkaa .kingine ambacho ni cha msingi sana uwe na bulungutu la kutosha si unajua tena jamaa wa barabarani.
Mkuu nashukuru Sana. Uliwahi kuifanya hii ili unipe uzoefu zaidi?na ni biashara inayolipa sana elfu 40 * 80= mil 3.2 kama utachoma mwenyewegarama zitapungua maana gunia bei yake itafika hata elfu 7 kwa maana ya garama za uchomaji. hela hiyo maana yake unafikisha gunia 80 dar. na mkaa wa kusini kwanzia rufiji somanga,lindi ni kwanzia elfu 55 kwa gunia la shanga mbili dar na unakubalika sana maana unakuwa wa ukweli maana kuna miti ya uhakika sana ya mkaa maeneo hayo.
Hebu kabla ya kuingia bank,rudia utafiti wako kama utakuta kuna mtu alitoka kimaisha kwa kufanya biashara ya mkaa.Ukimpata rudi utuambie hapa jukwaani.Bora ufuge kuliko biashara ya mkaa