Biashara ya Kuuza Mkaa: Uzoefu, Vibali vya kuchoma, Changamoto na Ushauri

Habarini wakuu
Natafuta sehem ya kufanya biashara ya mkaa hapahapa jijini Dar es salaam isiwe sehemu za kishua sana maeneo ya uswazi nayapa kipaumbele
fanya utafiti mkuu hakun aliyetajirika kwa kuuza mkaa,na mara nyingi panapouzwa mkaa huwa panachakaa sana,hii ninkutokana na sababu za kiroho miti mingi ina maagano,hata wafanyabiashara wa mbao huwa wengi mwisho wao sio nzuri,kuuana,kutapeliana,kufungwa kufilisika...nakushauri tafuta biashara nyingine isiyohusiana na bidhaa zitokanaozo na miti....tafuta fundi selemala mwenye mafanikio,ukimpata nitakusaidia laki 2 kwenye mtaji wako.
Mshana Jr
 
Tumepewa mamlaka ya kukanyaga nyoka na ng'e, naomba niambie kiwango cha mafanikio cha huyo fundi selemala nikuonyeshe niongezewe kamtaji kangu
 
Taja level ya mafanikio unayo taka ili kuondoa utata..
Mabadiliko ya kimaisha wengi wapo pale pale hawapigi hatua....by the way mafanikio ya maisha ya mtanzania yanajulikana nyumba 2 au 3,gari,uhakika wa msosi,watoto uhakika wa shule,mavazi na mashamba mawili matatu
 
Usifikir kwamba kila mwenye hivyo vitu anajitanganza nenda pale kinondoni kawakute wauza mbao, nenda huko iringa na sehem nyingine,
 
nimekuambia mafundi selemala we unasema wauza mbao,rudia tena kusoma sentensi yangu ya mwisho kwenye ile post
 
Nikweli ni vigumu kufanikiwa kwa kuuza mkaa ila kimsingi pesa ndio inakupangia biashara sizani kama mtu atakuwa na mtaji wa million 100 atawaza mkaa, hivyo iyo ni njia tu.
 
Kwa nini ngumu kufanikiwa kwa kuuza mkaa mkuu? Hebu tolea maelezo kidogo
 
Sio mkaa tu, Simply kuna biashara ambazo zinavyozidi kwenda zinakuwa mfano kama ufugaji, kilimo, biashara kama Maxmalipo na biashara kibao ambazo nyingi unaweza kuziweka katika mfumo wa kampuni ila biashara zingine ndogo kama hizo kuuza mkaa, duka rejareja miaka yote zinabaki constant labda uwe una fungua center nyingi.

Simply, ufugaji kipindi hiki unakuwa na idadi Fulani una tenda furani kipindi kijacho inazidi idadi na tenda zengine zinazidi.

Jiongeze mengine..
 
Hapo nimekuelewa mkuu ila unavyosema hailipi ulinipa mawazo sana
 
Hao wameingiaje kwenye kuuza mkaa
Usikatishwe tamaa mzee kuna watu wanapiga hiyo biashara na wameweza nunua scania hadi tatu wengine wanaweza nunua hadi vi canter hivi na kujenga nyumba kadhaa katikati ya miji mikubwa tu.

Cha msingi tu ZINGATIA kuwa na nidhamu katika biashara na matumizi ya pesa yako.

Kingine usijaze sana ofisini mkaa kuwa na store yako na ofisini weka gunia zako hata 15-30 zingine weka store*

Wajali wateja wako, weka bei yake gunia as standalone price na ambayo umeongeza na bei ya kubeba mzigo wa mteja ili akinunua umpelekee hadi home au sehemu yoyote anayotaka.

Unaweza kuwa na baiskeli phoenix au pikipiki kuukuu kwa ajili ya kupeleka. ..

Hakikisha mteja ni mfalme kwako.

You will make it brother!
 
Kuna biashara fulani hivi mtaji millioni 1 una uhakika wa kulala na faida millioni 2 kwa siku.

Ila ina risk.

Biashara nyingine ni hii mzee.
Biashara ya mazao

Mikoani mahindi saivi ni 3000 - 5000 kwa debe
Mchele debe ni 23000 - 26000
Ngano, maharage nk.

Pia kama unautaalaam wa kuhifadhi zipo biashara nzuri tu ilmradi uwe na baiskeli au pikipiki ya kusambazia pia ucheze na bei ya washindani wako.

Pia tafuta kitu hakipo sehemu uweke.
 
Habari za asubuhi ndugu zangu naomba
msaada wenu mwenye kujua ili waweze kunifahamisha kuhusu mitaji inayoitajika kiasi gani katika biashara mbili ikiwemo Mkaa na Hard ware ni ilo tu
 
Back
Top Bottom