WIZZY BABILON 94
Member
- Jul 9, 2015
- 35
- 14
Hapa karibu na mwananyamala kisiwanMwananyamala ipi mkuu na mbezi ipi?
Mbezi kwa msuguli kulee na temboniii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa karibu na mwananyamala kisiwanMwananyamala ipi mkuu na mbezi ipi?
Nipatie namba yako pm bossHapa karibu na mwananyamala kisiwan
Mbezi kwa msuguli kulee na temboniii
Duh mkuu sijaelewa tafadhaliNi vizuri ungetafuta mbia
fanya utafiti mkuu hakun aliyetajirika kwa kuuza mkaa,na mara nyingi panapouzwa mkaa huwa panachakaa sana,hii ninkutokana na sababu za kiroho miti mingi ina maagano,hata wafanyabiashara wa mbao huwa wengi mwisho wao sio nzuri,kuuana,kutapeliana,kufungwa kufilisika...nakushauri tafuta biashara nyingine isiyohusiana na bidhaa zitokanaozo na miti....tafuta fundi selemala mwenye mafanikio,ukimpata nitakusaidia laki 2 kwenye mtaji wako.Habarini wakuu
Natafuta sehem ya kufanya biashara ya mkaa hapahapa jijini Dar es salaam isiwe sehemu za kishua sana maeneo ya uswazi nayapa kipaumbele
Tumepewa mamlaka ya kukanyaga nyoka na ng'e, naomba niambie kiwango cha mafanikio cha huyo fundi selemala nikuonyeshe niongezewe kamtaji kangufanya utafiti mkuu hakun aliyetajirika kwa kuuza mkaa,na mara nyingi panapouzwa mkaa huwa panachakaa sana,hii ninkutokana na sababu za kiroho miti mingi ina maagano,hata wafanyabiashara wa mbao huwa wengi mwisho wao sio nzuri,kuuana,kutapeliana,kufungwa kufilisika...nakushauri tafuta biashara nyingine isiyohusiana na bidhaa zitokanaozo na miti....tafuta fundi selemala mwenye mafanikio,ukimpata nitakusaidia laki 2 kwenye mtaji wako.
Mshana Jr
kiwango chochote utakachoTumepewa mamlaka ya kukanyaga nyoka na ng'e, naomba niambie kiwango cha mafanikio cha huyo fundi selemala nikuonyeshe niongezewe kamtaji kangu
Taja level ya mafanikio unayo taka ili kuondoa utata..kiwango chochote utakacho
Mabadiliko ya kimaisha wengi wapo pale pale hawapigi hatua....by the way mafanikio ya maisha ya mtanzania yanajulikana nyumba 2 au 3,gari,uhakika wa msosi,watoto uhakika wa shule,mavazi na mashamba mawili matatuTaja level ya mafanikio unayo taka ili kuondoa utata..
Usifikir kwamba kila mwenye hivyo vitu anajitanganza nenda pale kinondoni kawakute wauza mbao, nenda huko iringa na sehem nyingine,Mabadiliko ya kimaisha wengi wapo pale pale hawapigi hatua....by the way mafanikio ya maisha ya mtanzania yanajulikana nyumba 2 au 3,gari,uhakika wa msosi,watoto uhakika wa shule,mavazi na mashamba mawili matatu
nimekuambia mafundi selemala we unasema wauza mbao,rudia tena kusoma sentensi yangu ya mwisho kwenye ile postUsifikir kwamba kila mwenye hivyo vitu anajitanganza nenda pale kinondoni kawakute wauza mbao, nenda huko iringa na sehem nyingine,
Hao wameingiaje kwenye kuuza mkaanimekuambia mafundi selemala we unasema wauza mbao,rudia tena kusoma sentensi yangu ya mwisho kwenye ile post
Kwa nini ngumu kufanikiwa kwa kuuza mkaa mkuu? Hebu tolea maelezo kidogoNikweli ni vigumu kufanikiwa kwa kuuza mkaa ila kimsingi pesa ndio inakupangia biashara sizani kama mtu atakuwa na mtaji wa million 100 atawaza mkaa, hivyo iyo ni njia tu.
Sio mkaa tu, Simply kuna biashara ambazo zinavyozidi kwenda zinakuwa mfano kama ufugaji, kilimo, biashara kama Maxmalipo na biashara kibao ambazo nyingi unaweza kuziweka katika mfumo wa kampuni ila biashara zingine ndogo kama hizo kuuza mkaa, duka rejareja miaka yote zinabaki constant labda uwe una fungua center nyingi.Kwa nini ngumu kufanikiwa kwa kuuza mkaa mkuu? Hebu tolea maelezo kidogo
Naomba mawasiliano yako mkuuHapa karibu na mwananyamala kisiwan
Mbezi kwa msuguli kulee na temboniii
Hapo nimekuelewa mkuu ila unavyosema hailipi ulinipa mawazo sanaSio mkaa tu, Simply kuna biashara ambazo zinavyozidi kwenda zinakuwa mfano kama ufugaji, kilimo, biashara kama Maxmalipo na biashara kibao ambazo nyingi unaweza kuziweka katika mfumo wa kampuni ila biashara zingine ndogo kama hizo kuuza mkaa, duka rejareja miaka yote zinabaki constant labda uwe una fungua center nyingi.
Simply, ufugaji kipindi hiki unakuwa na idadi Fulani una tenda furani kipindi kijacho inazidi idadi na tenda zengine zinazidi.
Jiongeze mengine..
Usikatishwe tamaa mzee kuna watu wanapiga hiyo biashara na wameweza nunua scania hadi tatu wengine wanaweza nunua hadi vi canter hivi na kujenga nyumba kadhaa katikati ya miji mikubwa tu.Hao wameingiaje kwenye kuuza mkaa