Biashara ya Madawa ya Kulevya: Wafungwa wa Kitanzania Hong Kong waendelea kufunguka


Huwezi kumtuma nyani au fisi akamkamate nyani au fisi mwenzake. Polisi ndio WANARATIBU matukio haya. Nchimbi kawekwa pale kanyaboya tu; hawezi lolote. Utasema nini mbele ya mtoto wa mfalme RK? IGP Mwema naye KIMYA! Namshangaa anasubiri nini kujiuzulu. Ukifumbia macho uhalifu, hata kama umetishwa, nawe mhalifu pia!

Siku yao ya hukumu YAJA!
 


binafsi kinachonofanya niamini ni ahadi hewa za Rais kuwataja na kuwachukulia hatua wafadhili wa biashara hii haramu lakini ameshindwa, je kitu gani anaogopa? nashawishika kuamini kwamba habari hizi ni kweli tena kweli tupu
 
In Tanzania we do have drug abuse problem, we have drug barones, our institution are somehow corrupt, but these letters of today are totally fake and orchested to tarnish Tanzania, and are politically motivated. It's a very pathetic move. Ni uongo wa hali ya njuu,
 
Tuache utani yaani kila pg anakosea kuandika 2013? au ndo madawa yalishamlewesha?
 

Attachments

  • cp.PNG
    21.8 KB · Views: 108
Serikali imeshindwa kabisa kutoa fursa za ajira kwa Watanzania.

Watanzania wazawa hawana fursa ya kupata mkopo nafuu wajiajiri- PESA zipo Uswisi

Mashamba mazuri na makubwa wamepewa wazungu, Viongozi wana mashamba makubwa na viwanja Kigamboni

nchi haina usalama, risasi, mabomu, pembe za ndovu

Sasa ajira hakuna na vijana ni masikini, ni rahisi kutumika na wanasiasa wanaojineemesha na rasilimali za nchi.

Watanzania tuamke sasa!!!

Form 4 failures
 
Yoote yamesemwa ya kweli au ya uongo sio hoja ya msingi......UKWELI NI KWAMBA......KASI YA BIASHARA HII HARAMU IMEONGEZEKA SANA TANZANIA KUASHIRIA KUNA SEHEMU INOYOVUJA IMEPANUKA ZAIDI...........
 
Hayo maandishi sio ya Mtanzania huyo ni Mchina aliyeandika hayo sisi watanzania hatuna hiyo miandiko na hizo herufi A za kwenye magazeti

ur right.....huo ni mwandiko wa mchina,kajitutumua sana kuandika kwa herufi hizi zetu....sio mtannzania huyo aliendika hii barua......
 

Nakubali kabisa kua hizi barua sio za kuzichukulia juu juu asilimia mia maana hata anayeandika mwenyewe huwezi jua nia yake ni nini, na hata kama ana nia mbaya na hawa jamaa bado uchunguzi ukifanyika hakuna hasara, si ni hela ya wananchi bna ndio inaweka serikali ilipo, sema point yangu ni kua tusichukulie kua hii kitu ni correct 100% maana watanzania wengi ndivo wanavochukulia hivo mara tu wanapoona kitu kwenye internet, sasa hawa jamaa wengine unaweza ukakuta ni wabunge wazuri tu then wananchi wakapoteza imani kabisa na jamaa huku in reality unaweza ukakuta ni mtu anachonga tu.. Swala ni kuutafuta ukweli, am sure watu wakiamua kabisa kwa moyo wote kuwapata jamaa inawezekana sana tu. Hajifichi mtu
 
jamaa amepata taabu kweli ya kuchonga mwandiko ili asijulikane, hii vita ni kubwa tuwe waangalifu sana, watu wasipokuona lakini Mungu anakuona. "TUMCHE MUNGU KWA DHATI YA MKUMCHA"

Mie mwenyewe nimejiuliza kuwa katumia muda gani kuchonga hizo 'a'.....
 
Ukisoma kwa makini utaona kuwa alieandika barua hizi ni mtu makini sana na mwenye utaalamu mzuri wa kuandika habari na wala si punde kama watu wanavyofikiria. Kama ni punda basi atakuwa ameandikiwa.

Kwa hiyo kwa akili yako ili mtu awe punda wa dawa za kulevya ni lazima asiweze kuwa na utaalamu!? ama asiweze kuandika vizuri?! Hii intelijensia yako kiboko!!
 
Yoote yamesemwa ya kweli au ya uongo sio hoja ya msingi......UKWELI NI KWAMBA......KASI YA BIASHARA HII HARAMU IMEONGEZEKA SANA TANZANIA KUASHIRIA KUNA SEHEMU INOYOVUJA IMEPANUKA ZAIDI...........

udhaifu.... umeongezeka zaidi
 
kama mtu anathubutu kupitisha kunai Zima la madawa, inamaana nchi haina ulinzi kabisa
 
Mkuu EMT kulikuwa na barua hapa JF iliyokuwa na majina ya mapapa wa unga?sembe hapa bongo.Yalikuwa majina 12,baadhi kama mama wa Mlima wa Moto Mikocheni,Prince wetu(No. 1),Mh Idd Azzan(lilishawahi kuwa hapa kwenye thread nyingine).Lakini ile thread ilifungwa na kuondolewa haraka!! Ipo tetesi hata wale binti zetu 2 walioko S.Africa waliwahi kumtaja Prince kuwa ndiye mwenye mzigo(thamani >Tsh 6 bln!!).Kama unaweza,tuwekee tena/unganisha hapa.
 
Wana JF,

Hizi habari kuna watu wanaziona kama ni za uzushi,uongo na kutaka kuchafuliana majina. Hayo ni mawazo mfu kabisa!
The DRUG BUSINESS AND DRUG BARONS are there to stay. Claiming that these are fake letters from inmates in HongKong doesn't add any value to ANTI NARCOTICS Strategies!

Kama Ridhwani Kiwete has been mentioned by HK inmates as one of those DRUG BARONS,why not President Kiwete repond to allegations by sending squad of Tanzania Police Force to Hong Kong to investigate and come with a plain truth of what is happening over there in HK?

Keeping quite for Kiwete and his on Riz1 means a BIG YES TO DRUG BUSINESS!
 
Ndio maana watumishi wa umma hawasikilizwi kumbe jamaa wana piga pakubwa!Ina uma kweli LO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…