Ananunua udongo anaenda kuozesha.
Kwa kawaida kwenye uchimbaji haswa dhahabu iyo million 120 alitakiwa awe nyuma ya mtu mwenye njia za iyo kazi, kwa ujumla huo si mtaji wa kuchimba ni bora ukae mjini na duka lako la mangi! Na mbaya zaidi ukiona anakwambia kapoteza 120m kwa hakika ni nusu ya hizo pesa ndiyo imeingia kazini zingine kapigwa.
Uchimbaji unahitaji mtaji, techonologia, nguvu kazi, uzoefu, connection na mwisho ambayo ndo muhimu ni uvumilivu/ ustahimilivu.
Huenda hiyo hela kakopa, bora iwe yako na sio mkopo. Mali zako zote zitapigwa mnada na ghafla unakuwa masikini.Bro wako sio mvumilivu kwenye haya maisha. Nilishawahi poteza 270m, ni kweli iliniuma sana. Nilitulia kiume nikaendelea na maisha.
Nilishasahau na kutengeneza zaidi ya hiyo
Technologies na research...wabongo au weusi tunakwenda na mihemko ...hatuna fungu la kufanya research kwenye Mambo ya uwekezaji ...hio amount NI ndogo sana kwenye tafiti ya madini...Luana maeneo wachina walishakata leseni ya madini nzega vitalu Kama 8 ..walimaliza zaidi ya miaka mitatu wanafanya tafiti kujua wapi waanzie...kwa mtaji kiasi gani yaani ukiangalia gharama walizo tumia Hadi kuja kuanza kuchimba Kama wachimbaji wadogo na techinologia ya uchenjuaji kubwa...unaona kabisa wabongo bado na tunafanya betingi kwenye uchimbaji wa dhahabu...wachache sana wanaofaidika baada ya wachimbaji wadogo kumaliza nguvu na rasilimali zao kuchimba na kuchenjua kizamazakale na kuacha Mali nyingi kwenye madongo senga...hio hela kwa wachimbaji walioserius NI kuungana wenye mtaji Kama. Huo nankununua tekinolojia na kufanya uwekezaji wenye tija..Google mitambo na ya kuchenjua dhahabu ya kisasa inayosaga mawe hata yakiwa yamelowa na kukamata dhahabu Bei yake ujue huyo kapoteza tu just a peanut kwenye uwanja wa dhahabu...hio hela inatosha tunkununua fuso dumps truck ya kubebea wawekezaji mawe au madongo ya wachimbaji wadogo...ukipewa hisa kwa wachimbaji wadogo na unamtaji Kama huo NI rahisi kupata hasara chap mfano hisa ya kuvuta maji na kununua mafuta na kulipa wafanyakazi wengine mwisho wa siku mje mgawane senga(dongo la dhahabu) utaona NI bahati na sibu hutoboi miezi 6 hela ishakataBahati nasibu
Daaah 😂😂😂😂 nimecheka kama mazuri ila mwanangu makongorosi chunya hakufai kabisaaYaani maneno anayoongea nashindwa kumuelewa yaani kama kadata hivi kumbe uchizi ni rahisi sana kuupata
Kweli mkuu watu wanadanganywa wanamaliza ndugu kwa FAIDA sijui za Nani wakati wazungu na wachina wanawekeza tafiti na techinologia...kila dongo Lina dhahabu Ila utofauti ninkuwa utatumia gharama kiasi gani kuchakata dongo kubwa kiasi gani kupata kilo moja hapo hapo wabongo wengi hupotea na kupoteza hela...unaweza kutumia million 200 kununua na kuchakata Tani 70za udongo ambazo UTAPATA dhahabu gram 250...Hadi kilo moja ukienda sokoni unaweza kuikataa hio hela au kuikimbia kabon plant maana hata ukiiuza huwezi kulipa gharama ambazo ushakopa kwa watenda kaziBiashara zote zina faida na hasara, ila ya madini yataka usikurupuke anza biashara nyuma ya mtu ukiisoma na kuzijua njia zake zote hasa wale wapiga chabo ili ununue mchanga, kwenye duara kama huna vifaa madhubuti vya kupima mali ilipo utajikuta unaua mke na watoto ukipeleka viungo kwa waganga ili upate mkanda wa madini la sivyo ndo ivo pesa itaisha ukichimba moram
Wewe ni yule dogo anayekuwepo kwenye kipenga extra ?Kuna siku Niko na Tajiri mmoja wa Mpira hapa Tanzania, akaniambia Mandala tufanye biashara zote ila usije siku ukaniambia una deal la Madini, tutakosana .. Binafsi nilimuelewa
Mbona hao wazungu na wachina nao wanafanya ulozi Migodini?Kweli mkuu watu wanadanganywa wanamaliza ndugu kwa FAIDA sijui za Nani wakati wazungu na wachina wanawekeza tafiti na techinologia...kila dongo Lina dhahabu Ila utofauti ninkuwa utatumia gharama kiasi gani kuchakata dongo kubwa kiasi gani kupata kilo moja hapo hapo wabongo wengi hupotea na kupoteza hela...unaweza kutumia million 200 kununua na kuchakata Tani 70za udongo ambazo UTAPATA dhahabu gram 250...Hadi kilo moja ukienda sokoni unaweza kuikataa hio hela au kuikimbia kabon plant maana hata ukiiuza huwezi kulipa gharama ambazo ushakopa kwa watenda kazi
Tatizo la investor wengi bado wanafanya kazi kienyeji, wakat wkutoka nje wanakuja na mashine zao, wanapima ki science, matokeo yanaonekana.Madini ni technology tu mkuu, wenye mitambo yao mizuri hawabahatishi ni vipimo tu vinawaelekeza
Kaka lako ni popoma! Usitolee mfano majitu yaliyofeli! Mimi kaka yangu kwa mwaka jana aliweka milioni 150 juzi kati ametusua bilioni 1.5Aisee naandika huu Uzi nikiwa nimekuja kumtembelea kaka yangu hospital hapa Mbeya, aisee hii biashara sio ya kuingilia kichwa kichwa.
Huwezi amini nipo hospitali maana broo kama akili zishaanza kuwehuka, vitu anavyoongea havieleweki aisee, haamini kama kafukia milioni 120.
Nawashauri ndugu zangu wana jamiiforums hii sio biashara ya kufanya, ni kama inauchawi fulani hivi!
Kitendo cha kusema upo hospitali kumuona bro wako nskushauri huyo asirudi tena mgodiniAisee naandika huu Uzi nikiwa nimekuja kumtembelea kaka yangu hospital hapa Mbeya, aisee hii biashara sio ya kuingilia kichwa kichwa.
Huwezi amini nipo hospitali maana broo kama akili zishaanza kuwehuka, vitu anavyoongea havieleweki aisee, haamini kama kafukia milioni 120.
Nawashauri ndugu zangu wana jamiiforums hii sio biashara ya kufanya, ni kama inauchawi fulani hivi!
Poleni wandugu,Yaani maneno anayoongea nashindwa kumuelewa yaani kama kadata hivi kumbe uchizi ni rahisi sana kuupata
President twende tukachimbe madini tutatoboa, muhimu tusidate tu.Kwa akili yako una weza geuka zaidi ya dish
huko kukosa madini, ndio kuta kufanya udatePresident twende tukachimbe madini tutatoboa, muhimu tusidate tu.