Biashara ya Madini ya Dhahabu: Fahamu Uwekezaji Wake, Changamoto na Faida

Biashara ya Madini ya Dhahabu: Fahamu Uwekezaji Wake, Changamoto na Faida

Hii biashara inakubidi uwe
1: mwizi wa macho kbs.(kuchezea mzani)
2.roho mbaya (utapeli kwa wateja wako)esp kwenue calculations..

I have been there...niliamua kuiacha!
Na serikali ya Magu mnagawana faida mnoo!..
Shida kuu iko kwenye soko...hawa wenye majiko wanachzea sana bei...yaan matajiri wanaambizana leo tutanunua kwa bei hii...! Wanaweza panga kununia kwa 85000/...lakini soko la dunia linasoma figure nyingine!

Ukitaka kumake labda uwe na jiko...ila kununua dhahabu na kwenda kuuza faida ni ndogo...( kule jikoni kama huna uzoefu watakuibia had utabasamu hata kama umepewa habari mbovu)
Unaweza nunua kwa 80000 jikoni ukakuta 77000!..na pia ubora wa dhahabu(purity)... Unauziwa mzigo kwa 80000@gramu lakini jikoni purity ikisoma 78%, 77% jua imekula kwako!
So unajikuta mtaji unakatika polepole!

Kifupi toka serikali hii iingie imeharibu...! Kodi zimekua juu mnooo!...labda ukutane na jiko wasilojua kucalculate unaweza ondoka na super profit!

Ushauri ...nenda kwanza migodini kasome kwamza mchezo kwa hao wanunuaji dhahabu( kota).., then utaamua mwenyewe!na usiwe mbahili kuwezesha watu ... Usipompa hela mteja wako jioni anaenda uza kwingine unakosa mzigo ..ukipata ufate faida atleast kwa siku ukusanye gramu kuanzia 25 hivi bila kodi kodi zao za wizi unaondoka hata na 100k&120k!daily...!

Kodi hapo unaweza acha zaidi ya 40!ila kama wenye majiko waelewa mnapoozeana! (Sasa hapa na wenyewe wanaogopa wanajua wewe mpelelezi..mie had leo wanajua ni mpelelezi..very dangerous))...tena kama ndo una sura sio ya kimgodi utakwepwa had ujute ..watajua ww mpelelezi...watakukata kodi kama ilivyo ada

Kuna makota wanapeleka kwa wahindi ..ananunua kwa shiling 80000 anaenda uza 87(mfano)lakini hawakupi deal hata siku moja...!..kifupi uwe mwizi mwizi ( Kuonea wateja...kuwaibia hela kbs )mjanja mjanja utatoka!ukiwa humble hiyo 5m itaisha august tu


HELA YA DHAHABU TAMU SANA!
[emoji23][emoji23][emoji23]dhababu haina utofauti na kamali.

Sema watu wanapigwa mno esp wageni. Kuna mtu alinunua mzigo ndani copper nje wakafanya coating ya gold, a very thin layer ukisugua two times unaona copper hiyoooo
 
Kama huzijui unauziwa kitu fake... Kuna dhahbu hichafuka tu..kwasababi ya mwamba kule chini au mercury kuwa chafu...sasa ukinunua kwa bei elekezo utazika hela yako..dhahabu chafu ina bei yake..maana had ioshwe na acid...!mambo mengi tu unapigwa huku jua linawaka!

Na upigaji mwingine uko jikonwakt wanachoma...so ni bora kucjomea jiko moja kuliko kuhama hama..kuna majiko kila unapopeleka mzigl wanawez kukuibia had point 8!..na huki ikichoma inabid ipungue kias kidg mayb .3(approx point 3)! Sasa hizl point 5 walizoiba ni approx 50000! Imagine uibiwe j3 had j3!

Hapo ndo mtaji unapokata!.kuchoma dhahabu lazima point fulani zipungue..sababu ni nyinge esp kama haikuchomwa vizuri bado ina mercury...na jinsi ya kupma purity pale unaweza lia...unahakakika hii dhahabu safi na unajua hia zinasoma range hii had hii(mf, 80-87!) Majibu yanakuletea inasoma 78! Ikisoma hivuo unauza kwa hyo hyo bei78!labda wakuonee huruma wakununulie kwa 80!

Mambo ni mengi..ila ukipata chocho la kununua kwa bei elekez ukaenda uza kwa bei ya dunia uhakika wa kumake zaido ya lak 3 @ upo mkubwa! Tatizo connection..lakin ukisema ufate process ukate kodi hizi mpya mpya hapana...utaishia faida za 40000/-90000/= daily! Kama niko wrong wengine mtarekebisha!
Uko sahihi. Na kwenye purity hapo unakuta kwenye mzani wa maji ule wanaweka chumvi kidogo purity inasoma low mtu ananufaika.
 
Mkuu vipi kwa biashara ya usafirishaji huko, mfano ukiwa na ka pick up
Kiukweli kule ujitoe tu ufahamu kama huna mtaji! Kazi zipo ila za kutumia nguvu..esp kuosha unga...kuchenjua dhahabu(hapa lazima ujifunze kwwli kweli) na ni ngumu mtu kukupa tope lake umchenjulie..wanaiba sana hapa kwa kuchenjua .
Kazi nazoona wanafanya zaidi kina kaka wasio na .mtaji ni kupiga moko(kuzamaa huko chini kupiga mwamba) ni kazk ngumu kiukweli...ila ukibahatika ukatoka na kajiwe uongo! Mistake za kule ni zile zile .kwasababu kazi ni ngumu bas mtu akipata hela anatumia hovyo sana!

Kuosha unga ni 2000@ mzunguko mmoja...mzunguko mmoja unaweza chukua ndoo zile ndogo 5-8!inategemeana na ukubwa wa ile machine(crusher )na inaweza zidi pia kidg..so unga ni mwingi kiukwel..sasa vibarua ni hela ya kula tu..mayb uombe uoperator na mkubaliane mlipane mkishauza kifusi...hapo makubaliano ni yenu wewe na mwajiri wako! Bt haizid 500k had kaz kufunga!

Mie nachoamini pia ni bahati!.kuna dogo ndugu yangu alifika kule mwaka 2017! Akitokea chuo ...alifika hana kitu..akaomba kwa mzee 200k! Leo hii kila miezi miwili ana faida ya kuanzia 6-8m!so alianza na , 200k akinunua mawe ya bei ya chini(fello)..akapanda had kumiliki crusher! Means akianza leo 14th kazi anafunga 14july anauza kifusi yy hana mpango na plant kbs.faida ndo hizo 6-8m! Ikigoma sana 4m.. Kule naona wasomi kama wanatoka mapema eti!...mradi uwe serious na usmart fulani!

Na ukitaka kufanikiwa mapema nenda kwenye mgodi ulolipuka ...sio mgodi uliodormant!..!
 
Mzee baba niliona kimya humu Jukwaani nikajua Mai Mai walishafanya yao,so itabidi tuji-organise tutume kikosi kije kukukomboa arifu hahah.
Umeanza kuharibu uzi ishu zako za maimai wapelekee watoto wenzio humu tunajadiliana biashara ya Madini
 
Afadhali huyu ameomba ushauri hapa jukwaani. Mwaka 2016 nilifuatwa inbox na jamaa mmoja baada ya kuchangia kwenye uzi humu jf. Yule jamaa mpaka leo nashindwa kuelewa lengo lake. Alinisumbua sana mpaka nikaanza kumpa ushirikiano.

Mara nina mtaji wa 20m USD nahitaji kuwekeza, tafuta eneo tununue, fuatilia vibali na mambo meeeeengi. Na wakati huo nilikuwa hovyo nikawa nahangaika nikijua hapa mambo si muda yatajipa.

Baada ya kuhangaika nae mwisho nilianza kuwa na mashaka naye. Mpaka leo siwezi kumsaidia mtu inbox mpaka nione kuna umuhimu. Kwanza nimejifunza ukitoa elimu jukwaani unawasaidia wengi.

Shukurani sana kwa Wangari Maathai kwa elimu unayoitoa hapa.
We nae majigambo mengi huna msaada wowote ulitaka tujue tu kuwa umemsaidia mtu
 
Mkuu nimekupm naona inagoma ...ila naomba kujua Nina milion nataka kuwa mlanguzi wa dhahabu Kisha nikauze je tahadhari gani unanipa

Kuna comment niliandika nadhan mwanzoni kbs ..! Yaan ungeanza wakati wa corona Sasa hivi ungekuwa na faida zaid ya 6m! Maana watu walinunua had kwa 45-50 wamekuja uza 90-92 June hii! soma Kule juu ..changamoto zake niliandika Kule juu..!
All the best
 
N
M
Mie ni mnunua dhahabu machimboni...nikinunua 20gms nakuja uzia kwako wewe mwenye jiko...! Ww una mzani wa kusoma purity ya dhahabu... Kwahyo ww ukiniambia mie kuwa leo nanunulia shilingia kadhaa sina ujanja !

Nadhan ni km beaure de change...mgodini kuna headache sn kununua dhahabu(ulizwaji) huku jikoni ngumu kulizwa maana had ichomwe...! Na dhahabu haiongopi ikipita kwa moto...
Naomba nikupm asbh sina chaj kwasasa...!

Huku jikoni unaweza kula zaidi ya 200000/=kwa kila manunuzi ukiamua kuwa SMART i know you know😊😊 ... !
Ni lazima uuze jikoni? Yan kwamba hakuna option ya kuchomewa tu nawe na kwenda kuuza kwengine.
 
Nchi hii bado ina fursa nyingi tu, kwa bahati mbaya serikali ya CCM imezihodhi fursa karibu zote.
 
Back
Top Bottom