LOVE U JF
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 2,138
- 1,639
Ofisi zao ziko vingunguti huduma hizi za mashine xinapatikana wacheki 0716730991 idara ya mashine ukifanikiwa mrejesho mhimuSiifahamu wala sina taarifa zao unaweza kujaribu na kujionea mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ofisi zao ziko vingunguti huduma hizi za mashine xinapatikana wacheki 0716730991 idara ya mashine ukifanikiwa mrejesho mhimuSiifahamu wala sina taarifa zao unaweza kujaribu na kujionea mwenyewe.
hamna kitu hapo ubabaishaji kuna jamaa ndo anayetengeneza na wla siyo sido wenyewe.. bora mbeya na arusha.Ofisi zao ziko vingunguti huduma hizi za mashine xinapatikana wacheki 0716730991 idara ya mashine ukifanikiwa mrejesho mhimu
Naomba nikuelekeze gharama za uendeshaji, gharama si kubwa maana gharama zote zinaingia kwa mlaji mfano umeme,usafiri,mifuko,maji n.kWazoefu wa hii biashara tafadhalini tupeni mchanganuo wa gharama za uendeshaji na faida.
Najua faida si kubwa kiviile ila si mbaya mkatupatia maelezo yakinifu ili tusiwe tunabahatisha.
Chonde chonde.....🙏🙏🙏
Hii ni biashara nzuri sana na ina ela, kama unataka kuifanya usianze kwa kununua mashine na vitu vingine gharama ni kubwa mno na hutaweza kuifanya na kuona faida kama unavyodhan hii biashara ina mambo mengi kama zilivyo biashara nyingineHabari wana JF
Nahitaji kuanzisha kiwanda kidogo cha sembe na dona je ninahitajika vibali gani au niweke kwanza majengo na mashine.
Je mtaji kiasi gani?
Location ni Kibaha msaada zaidi sifahamu chochote nabje raw materials nitapata wapi?

Bei ni kubwa mnooo sio mradi wa kitoto unaweza kuishia njiani kama hujajipanga
Aisee!Hii ni biashara nzuri sana na ina ela, kama unataka kuifanya usianze kwa kununua mashine na vitu vingine gharama ni kubwa mno na hutaweza kuifanya na kuona faida kama unavyodhan hii biashara ina mambo mengi kama zilivyo biashara nyingine
Nikushauri kitu tafuta mashine itakayoweza kusaga na kukoboa bidhaa yako alafu ingiza sokoni
Manzese zipo mashine unanunua mzigo wanakukobolea na kukusagia then unaingiza sokoni mzigo
Ila kuna mahesabu yake
Mkuu mashine hats ukipewa bure haiwezi kufanya kazi mpka ufunge mota na umeme ni njia 3 ongeza na jengo LA kuiwekaUsimtishe..machine ni 2m tu nw...labda mahindi
Naomba kujua gharama ya kinu na mota ya maahine ya kukoboa na kusaga wadau.
Samahani mkuu... una uzoefu na hii biashara? Na ni biashara kichaa kivipi? Tujuze kidogo kabla hatujajiingiza hukoBiashara kichaa watu hawaijui tu. Utahitaji vibali si chini ya 7 kuanzia halmashari mpaka TFDA
Kuna urasimu mwingi sana. Mimi vibali tu kulipia na kodi halmashauri ilikuwa naripa kama 4m. Hii ni faida ya mwezi mzima. Jamaa wa sijui mazingira wakikuibukia ndo utajuta, hawajaja jamaa wa TFDA. Niliamua kustopisha uzalishaji mashine nikapeleka kijijini iwasaidiage wazee.Samahani mkuu... una uzoefu na hii biashara? Na ni biashara kichaa kivipi? Tujuze kidogo kabla hatujajiingiza huko
4mil complete kwa mota na mashine ya hp kubwaPoleni na majukumu ya ujenzi wa taifa ndugu wasakatonge wenzangu:
Nina mpango wa kufungua mashine ya kusaga na kukoboa nafaka. Hivyo ninahitaji kujua ni vitu gani muhimu vya kuzingatia kabla sijaanza process yaani
1. Bei za vifaa kama motor; wiring nk
2. Mtaji wa kuanzia ili nione kiasi nilichonacho kama kinatosha
Kwa wenye ufahamu na hii biashara karibuni mnidadavulie. Pia kama wewe ni mfanyabiashara wa vifaa hivyo tutawasiliana nije nikuungishe.
Shukrani.
Exactly!Mkuu kwamba nikiwa na 4mil
Nitapata motor
Na mashine yake ya kusagia