prosper mnenuka
New Member
- Apr 6, 2016
- 1
- 0
asant sana mwanaifm, nimekuta sana kaka.kama inawezekana naomba conduct no ili siku moja nikutembelee huko dom.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Point point walete mrejeshoTunaomba feedback!
Tatizo la JF ni mtu kuanzisha mada ya kuomba msaada halafu baadaye hata hasemi kama alifanikiwa, alikutana na changamoto, au hakuanza kabisa.
Hii tunaiona sana na ikiendelea hivi basi kunakuwa hamna faida ya kupeana ushauri. Wengine tunahamasika pale tunapoona wenzetu wamefanikiwa. Lakini hata pale ambapo mafanikio hayajapatikana, bado kuna kitu cha kujifunza.
Heshima yako boss...naomba kujua ulifikia wapi na hii biashara...Habari za jioni wakuu
Ninaombeni mawazo yenu. Niko kwenye mchakato wa kuanzisha kiwanda rasmi cha kusaga na kufungangasha unga wa nafaka mbalimbali. Nina mashine ya kusaga mahindi mkoani Dodoma na nilikua nafunga na kuuza unga kienyeji vijijini. Sasa nimeamua kuifanya iwe rasmi kabisa na Mungu akisaidia January 2016 bidhaa zangu zitakua sokoni. Niliyofanya mpaka sasa?
1. Mashine ya kukoboa na kusaga
Tayari ninayo na inatoa huduma
2. Mashine ya kupima, kufungasha na kufunga niliagiza kutoka China na iko kwenye hatua za mwisho za kuwa installed
3.Nimeshaanza mchakato wa kupata vifungashio kwenye kiwanda kimoja Bagamoyo. Mifuko ya kilo 5, 10 na 25 yenye nembo.
4.Stock ya mahindi ninayo karibia tani 10
5.Niko kwenye hatua za mwisho za kupata kibali cha tbs.
Kwa wazoefu wa biashara hii naomba kama kuna mwenye mchango wa ziada tushauriane mpaka hapo nilipofikia. Na kama kuna kitu kingine chochote kinahitajika.Tunaweza wasiliana hapa kwa michango au anymore business ideas/patnership na masoko zaidi.Au hata kwa PM
Shukran.
Mjasiriamali
Hivi kinu katika mashine ni kipi,na vipi hizi za kichina zina tatizo gani maana nasikia zinatoa unga vizuri sana.Bei hizo ziko juu sana lakini haswa tumia za Sido kwa vinu mota ndo uingoe Dukani
Hongera sana, Kuna mtu ameshauri hapo kuhusu kuwa na mtu wa Marketing. Napenda pia kushauri kuwa na watu wa marketing kwa kila mkoa kwa kuanzia angalau DSM, PWANI, sijajua kwa huko mikoani.. Ambao kila kwanza utawapa jukumu la kutengeneza Market Plan iliyoshiba kwa kuelezea na vitendo kuanza haraka juu ya vyanzo vya masoko. Kwa DSM waanze negotiations na shule ya Private, Cafterias za vyuoni mf. DUCE, UDSM, ARDHI, IFM, CBE, DIT, ST JOSEPH, TIA, ST MARK'S, MNMU nk.. Pia kufungua ofisi mbalimbali kwa kila maeneo yenye hizo nafaka. mf. Mbagala, Tabata, Buguruni, Gongolamboto, Temeke, Kigamboni, Mbezi, Kimara, Mwenge, Makumbusho, Magomeni, n.k. Promotion katika vyombo vya habari, kutafuta airtime za mahojiano na TV's au Redio.. Lakini mwisho wa siku kumbuka kutembelea VITUO VYA WATOTO YATIMA angalau kuwapa hizo nafaka. Kumbuka pia promotion nyakati za sikukuu. ALL THE BEST.
Asante ndama kwa mchango wako na kunitia moyoKwa mtazamo wangu naona ni biashara nzuri sana endapo utakuwa unachukua nafaka shamba unasaga Alafu unauza unga kwenye viroba!