Kila sehemu kuna jamii ya miti ya mbao inayoota na kukua vizuri, kwa kuwa hapa imetajwa michache. Hata Iringa kuna maeneo pines hazikubali ila acrocarpus inafanya vizuri. Mbinga pine ipo, lakini Songea haipo,ila sederela/tiki ipo. Kwa hiyo tafuta jamii ya mti sawa na hali ya hewa ya mahali husika.
KVM: Nakushukuru sana kwa ushauri wako ulioni-pm wa kumtafuta MALILA. Nimewasiliana nae, kaonyesha positive response ya kunisaidia katika hatua yoyote nitakayohitaji. Mbarikiwe nyote kwa kuwa tayari kutoa mawazo mliyo nayo kwa wengine tena kwa for all your best. tena kanisaidia sana, manake bei ya maeneo niliyokuwa nayo kichwani kwa msaada wa mtu fulani tuliyefahamiana siku si nyingi ilikuwa zaidi ya mara mbili ya niliyoambiwa na MALILA. Hivyo uzi huu na positiveness yenu na wachangiaje wengine wote, imekuwa muhimu sana kwangu. naendelea kujipanga, nadhani mwezi ujao mwanzoni, nitamsumbua malila rasmi, naomba tu asinichoke.
KWA MSAADA fika Wizara ya mali asili na utalii DSM kitengo cha misitu, utaelekezwa hatua kwa hatua.Habari wakuu,naomba mwenye kujua;
1.procedure za kuchana mbao kwa miti ya kupandwa maana naskia mpaka upate kibali na sijui nitakipataje.
2.upatikanaji wa soko la uhakika wa mbao.
3.stick and carrot ya hii biashara ya mbao ikoje?
NIKO LUSHOTO.
KWA MSAADA fika Wizara ya mali asili na utalii DSM kitengo cha misitu, utaelekezwa hatua kwa hatua.
pili uwe na leseni ya biashara iliyo hai,, picha pp 2. Kuhusu masoko utapata tu kwa kujitangaza.
habari wakuu,naomba mwenye kujua;
1. Procedure za kuchana mbao kwa miti ya kupandwa maana naskia mpaka upate kibali na sijui nitakipataje.
2. Upatikanaji wa soko la uhakika wa mbao.
3. Stick and carrot ya hii biashara ya mbao ikoje?
Niko lushoto.
Ninashukuru sana kwa hii topic, hata mimi nipo interested sana na kupanda miti na ni idea ya muda sasa, issue kwangu ni namna ya kuanza especially kupata shamba kwa ajili ya kupanda. Ningeomba kupata japo idea kama ninaweza kupata eneo huko njombe na kwingineko ukizingatia mimi ninaishi dar. Na price inakuwaje, pia gharama za miche kwa sasa ni kiasi gani na kuotesha plus kutunza. Please please mwenye data ninaomba
njooni handeni tupande mitiki tuwe mabilionea kama ifuatavyo , mitiki inakuwa tiyari kuvunywabaada ya miaka 10hadi 20 kwa sasa bei ya cubic mita moja ni 400$ namti wa miaka 10 un acubic mita 5!!!!!kwenye eka mija unaoand miche mia 5!!!!!!!!!