Bukwabi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 3,352
- 1,148
Kila sehemu kuna jamii ya miti ya mbao inayoota na kukua vizuri, kwa kuwa hapa imetajwa michache. Hata Iringa kuna maeneo pines hazikubali ila acrocarpus inafanya vizuri. Mbinga pine ipo, lakini Songea haipo,ila sederela/tiki ipo. Kwa hiyo tafuta jamii ya mti sawa na hali ya hewa ya mahali husika.
Nakubaliana na wewe mkuu lakini zile species zinazochukua muda mfupi zinategemea na hali ya hewa ya eneo husika! vinginevyo uko sahihi!






