Hii kitu inawezekana kabisa wala haiitaji ubishi ila isipokuwa inabidi uwe na teamwork ya uhakika kwenye assembling ya mzigo.
Biashara ya mbao inalipa sana kama una uhakika wa soko.
Binafsi nilishawahi kujihusisha na uchakataji wa mbao (hardwood) huko maporini kwa kutumia chainsaw. Naijua vizuri kazi hii inalipa sana. Nafikiria siku moja kuirudia. Ukiwa na chainsaw huko pori kuingiza 300k (off cost) kwa siku ni issue ya kawaida sana.
Kuna uwezekano mkubwa kabisa anaemiriki semi trailer akazidiwa kipato cha siku na mmriki wa chainsaw moja tu yenye gharama ya tsh1,300k!
Huamini, basi potezea!