Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 960
- 927
Mkuu unaweza kufafanua zaidi kuhusu hii biashara?Kwa mwenye mtaji wa mil 8 hadi kumi unaweza kufanya biashara moja ambayo faida yake ni mil 2 kila wiki. Ila inahitaji ufatiliaji.
Biashara hiyo ni kuchukua mbao huku Mbinga na kuleta Dsm. Mimi na my brother tunafanya share. Inalipa kwa kweli..
Mmmmh mbinga naijua vzr mbao hazipo pale mjini kwa faida sijui ila kwa muda yani kila wiki utoe mzigo sio kweli mzigo utoke muda gani shamba na uanze safari ya Dar jipange vizuri kaka,Yaani ndani ya mwezi 1 usharudisha mtaji wako?
Hiyo biashara imekuwa Ngada.
Nina jamaa yangu yuko iringa kukusanya mzigo. Imepita miezi sasa hajarejea DSM! Naweza kusema hiki alichokiandika mianzisha Uzi. hata kwenye ndoto hakiwezekani!Mmmmh mbinga naijua vzr mbao hazipo pale mjini kwa faida sijui ila kwa muda yani kila wiki utoe mzigo sio kweli mzigo utoke muda gani shamba na uanze safari ya Dat jipange vzr kaka
Nina jamaa yangu yuko iringa kukusanya mzigo. Imepita miezi sasa hajarejea DSM! Naweza kusema hiki alichokiandika mianzisha Uzi...hata kwenye ndoto hakiwezekani!
Labda inaweza kuwezekana endapo utakuwa na watu kule kule wa kukusanyia mzigo lkn sio kwa mtaji wa 8-10mlNilipousoma huu uzi haraka niliwaza Songea nikawaza ile km 100 ya kwenda mbinga nikawaza nipo mbinga mjini labda tufanye pale Mbuyula mbao utazitoa wapi ili kila wiki uwe Dar yani hata kwa wiki 2 sio kweli labda aje afafanue zaidi
Huu utani sasa, 2m kwa wiki kwa mtaji wa 8m
Hahaha maana kama wewe na brother wako mmeshare mngekuwa mbali wala hamuhitaji tena mti wa kusharea nae.
Atapigwa mtu,lazima,inaaman mtaji wa 8m kwa mwezi unaingiza 8m,hahahahahah
Labda inaweza kuwezekana endapo utakuwa na watu kule kule wa kukusanyia mzigo lkn sio kwa mtaji wa 8-10ml
TRIP YA KWANZA MZIGO UKUFIKA DAR UNACHEZA NA MADALALI WAKUTAFTIE BOSS, BUT MWANZO MGUMU.Too good to be true. Ndani ya wiki uwe ushaleta mzigo kutoka source,umeuza na umepata faida....sijui.
HAHAAA TEMBEA UONENilipousoma huu uzi haraka niliwaza Songea nikawaza ile km 100 ya kwenda mbinga nikawaza nipo mbinga mjini labda tufanye pale Mbuyula mbao utazitoa wapi ili kila wiki uwe Dar yani hata kwa wiki 2 sio kweli labda aje afafanue zaidi
KWA USHAURI MZIGO UPO DAR NOW .CHUNGUZA KWANZA ULIZA NA UWE MAKININa hata hao wateja wanapatikana wapi n.k. mie nataka kufanya nimetamani nitaku pm, ila muhimu iwe ya halali na vibali n.k.
KUKODI SEMI KUTOKA RUVUMA MBINGA HADI DAR NI MIL.1.8, UNANUNUA MBAO 2X6 PC 1000 @5000 NA 2X4 PC 500@4000 KIBALI NI LAKI 2.2O JUMLA
Utakuwa na bahati sana huo mzigo ukiisha ndani ya hio wiki.TRIP YA KWANZA MZIGO UKUFIKA DAR UNACHEZA NA MADALALI WAKUTAFTIE BOSS
,BUT MWANZO MGUMU,
Funguka mkuu watu wana hofu na maelezo yako funguka kaka mzigo unatoka wapi kwa pale mbings wa haraka haraka?HAHAAA TEMBEA UONE
Aisee,mado show inaendelea. Mmiliki wa Semi Trailer anazidiwa kipato na mwenye msumeno?Hii kitu inawezekana kabisa wala haiitaji ubishi ila isipokuwa inabidi uwe na teamwork ya uhakika kwenye assembling ya mzigo.
Biashara ya mbao inalipa sana kama una uhakika wa soko.
Binafsi nilishawahi kujihusisha na uchakataji wa mbao (hardwood) huko maporini kwa kutumia chainsaw. Naijua vizuri kazi hii inalipa sana. Nafikiria siku moja kuirudia. Ukiwa na chainsaw huko pori kuingiza 300k (off cost) kwa siku ni issue ya kawaida sana.
Kuna uwezekano mkubwa kabisa anaemiriki semi trailer akazidiwa kipato cha siku na mmriki wa chainsaw moja tu yenye gharama ya tsh1,300k!
Huamini, basi potezea!
Mkuu we mgumu wa kuelewa eee!!Aisee,mado show inaendelea.
Mmiliki wa Semi Trailer anazidiwa kipato na mwenye msumeno?
Hayaaa, kazzzi kweli