Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

Pia kuna ekari 13 kati ya hizo eka 8 zimepandwa paini na ekari 5 zimepandwa mlingoti. Hilo eneo lina uzwa million 32 na miti ina umri wä miaka 6 iko uchindile~mgololo~mufundi, (hyo bei ni miti +shamba)
 

Kiongoz nimekua nikifuatilia maandiko yako ya kilimo cha miti ya mbao. Mimi ni kijana ninayependa sana kilimo miaka miwili nyuma nilijaribu kulima kitunguu kama hekar2 hivi kiukweli nilitumia gharama nyingi sana pamoja na kununua water pump ili nifanye kilimo chenye tija, matokeo yake niliambulia laki6 tu out of 2milion na kitu nilizo weka hapo. Nimekata tamaa na kilimo hiki.

Sasa nilinunua hekar 25 kilosa Morogoro.
1. Kuna watu walinishaur nipande miarobain baada ya miaka8 naweza vuna kama mbao
2. Mbali na mwarobain naweza lima mti wa aina gani kilosa.asante
 

Pole ndugu. Kwa kweli mimi siyo mzoefu kabisa wa Kilosa.

Kuhusu kustawisha Muarobaini kwa ajili ya mbao kuna mtu ameniambia kuwa naye anataka kufanya hiyo. Hiyo miti inaweza kuwa mizuri lakini naona kuwa inatoa mbao fupi kwa vile inaweka matawi makubwa baada ya urefu mdogo tu kutoka ardhi.

Hakuna watu wameotesha mitiki? Peleleza inaweza kustawi.
 
Kiongoz naomba uniunganishe coz naweza anza kuweka akiba ili nije kununua ardhi huko sababu bado umri wangu ni 30yrs so naamin bado naweza pigana ili ninunue huko.
Nitashukuru ili niendelee kupata hii elimu
 
Kiongoz naomba uniunganishe coz naweza anza kuweka akiba ili nije kununua ardhi huko sababu bado umri wangu ni 30yrs so naamin bado naweza pigana ili ninunue huko.
Nitashukuru ili niendelee kupata hii elimu

Mimi nipo mbali kidogo. Nitakuunganisha na Malila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…