Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

Pia kuna ekari 13 kati ya hizo eka 8 zimepandwa paini na ekari 5 zimepandwa mlingoti. Hilo eneo lina uzwa million 32 na miti ina umri wä miaka 6 iko uchindile~mgololo~mufundi, (hyo bei ni miti +shamba)
 
Ardhi ya kupanda miti kama pines bado ni nyingi sana hasa kwenye karibu ya mkoa wote wa Njombe has kwenye wilaya za Njombe, Ludewa na Makete. Nadhani kuna sehemu za mkoa wa Rukwa na mbeya miti hii hustawi vizuri pia.

Mimi nawatia moyo nyote ambao mnataka kupanda miti kufanya hivyo. siyo lazima uwe na kipato kikubwa sana. Huu ni mradi mzuri kwa wafanyakazi. Mimi nimepanda miti kutumia mshahara wangu tu. Tunaweza kupishana kipato lakini panda angalau eka 10 au 20 kwa mwaka. Ni gharama ndogo tu. Hata mimi mshahara wangu siyo mkubwa sana lakini kwa uvumilivu sana nimeweza kupanda miti ya kutosha.

Kazi ya kupanda inafanyika mwezi wa 12 kwa mikoa ya kusini. Ukishapanda huo mti unasubiri miaka ya kustaafu basi unaanza kuvuna. Ni kiunua mgongo kizuri kwa wafanyakazi. Lakini ukiwa kijana bado ni kipato tosha na cha uhakika kwa kila mwaka. Mbao za Tanzania zinauzwa Kenya, Uganda, South Sudan, Somalia na Uarabuni. Kwa sasa hivi mbao za Tanzania hazitoshi kwa hiyo wapasuaji wanakwenda mpaka Malawi kununua miti huko.

Uzuri mwingine wa kupanda mti ni kuwa unawatia hamasa wenyeji wa eneo utakalopanda miti. Wakati naanza kupanda miti pale kijijini nilikuwa karibu peke yangu tu. Baada ya kuwashauri wanakijiji nao kufanya kile nilichokuwa nafanya nao wakaanza kupanda miti. Leo hii kijiji kimezungukwa na mashamba mengi ya miti ya wanakijiji. Baada ya miaka mitano uchumi wa kile kijiji utapaa sana kwani nitakuwepo kuhakikisha hawalaliwi na walanguzi wa miti.

Kiongoz nimekua nikifuatilia maandiko yako ya kilimo cha miti ya mbao. Mimi ni kijana ninayependa sana kilimo miaka miwili nyuma nilijaribu kulima kitunguu kama hekar2 hivi kiukweli nilitumia gharama nyingi sana pamoja na kununua water pump ili nifanye kilimo chenye tija, matokeo yake niliambulia laki6 tu out of 2milion na kitu nilizo weka hapo. Nimekata tamaa na kilimo hiki.

Sasa nilinunua hekar 25 kilosa Morogoro.
1. Kuna watu walinishaur nipande miarobain baada ya miaka8 naweza vuna kama mbao
2. Mbali na mwarobain naweza lima mti wa aina gani kilosa.asante
 
Kiongoz nimekua nikifuatilia maandiko yako ya kilimo cha miti ya mbao. Mm ni kijana ninayependa sana kilimo miaka miwili nyuma nilijaribu kulima kitunguu kama hekar2 hivi kiukweli nilitumia gharama nyingi sana pamoja na kununua water pump ili nifanye kilimo chenye tija, matokeo yake niliambulia laki6 tu out of 2 milion na kitu nilizo weka hapo. Nimekata tamaa na kilimo hiki.

Sasa nilinunua hekar 25 kilosa Morogoro.
1. Kuna watu walinishaur nipande miarobain baada ya miaka8 naweza vuna kama mbao
2. Mbali na mwarobain naweza lima mti wa aina gani Kilosa.

Asante

Pole ndugu. Kwa kweli mimi siyo mzoefu kabisa wa Kilosa.

Kuhusu kustawisha Muarobaini kwa ajili ya mbao kuna mtu ameniambia kuwa naye anataka kufanya hiyo. Hiyo miti inaweza kuwa mizuri lakini naona kuwa inatoa mbao fupi kwa vile inaweka matawi makubwa baada ya urefu mdogo tu kutoka ardhi.

Hakuna watu wameotesha mitiki? Peleleza inaweza kustawi.
 
Kiongoz naomba uniunganishe coz naweza anza kuweka akiba ili nije kununua ardhi huko sababu bado umri wangu ni 30yrs so naamin bado naweza pigana ili ninunue huko.
Nitashukuru ili niendelee kupata hii elimu
 
Mimi nipo mbali kidogo. Nitakuunganisha na Malila
 
Back
Top Bottom