Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

Sijasikia mtu anayepanda mitiki hasa hasa maeneo ya morogoro. Au hamjasikia fursa upande huu?

Watu wanaotesha mitiki kwa small scale, kwa small scale mitiki haiuziki kwa thamani yake, pia rotation time yake ni kubwa kwa Waswahili wengi kuweza kuvuta subira. Mitiki ina complication kubwa kwenye uoteshaji, kuanzia mbegu kwenye kitalu mpaka uoteshaji, hali hii huwakatisha tamaa Watz wengi.
 
Kwa kule niliko mimi ni kama ifauatavyo.

A) shamba bei ni, 80k, 90k na 100k, kwa hiyo hapa uchague wewe bei unayo mudu, mfano tuchukue 90k kwa eka.
90k x 10 sawa na 0.9M
B) Gharama za kijiji zitakuwa 9000/ x 10 sawa na 90k
C) 10 x 600 x 100/ sawa na 0.6M
D) Upandaji ni 50k x 10 sawa na 0.5M
E) Usafirishaji wa miche 0.15M
F) Chakula 0.1M
G) kuweka fire break kila mwaka 0.2M
I) Vifaa vya kazi 0.15M

Hata kama gharama zitapishana kidogo na maeneo mengine, lakini ziko katika range hizo.
Ahsante Kaka,
Ngoja nipige ukokotozi nione kama naweza kukuona,
By the way CHAI DAY ni lini kaka??
Kuna ile ya November au December nadhani
 
Ahsante Kaka,
Ngoja nipige ukokotozi nione kama naweza kukuona,
By the way CHAI DAY ni lini kaka??
Kuna ile ya November au December nadhani
Tuna mambo mengi hadi kichwa kinaenda rivasi, sidhani kama tutafanya, tuna kazi ya kuotesha miti milioni 5 msimu huu, sio kazi ndogo. Tuna kazi ya kupima mashamba desemba hii, labda mwakani February 2017 tukijaliwa kuuona mwaka.
 
Tuna mambo mengi hadi kichwa kinaenda rivasi, sidhani kama tutafanya, tuna kazi ya kuotesha miti milioni 5 msimu huu, sio kazi ndogo. Tuna kazi ya kupima mashamba desemba hii, labda mwakani February 2017 tukijaliwa kuuona mwaka.
Dah,
nilikua naivizia hiyo.
Cheki PM basi
 
Mwenye uelewa atajuze..!/
•@uparo tafadhali njoo hapa utujuze!

Nimepata fununu ipo miti ya miaka 3, 5 na miaka 10.

Pia nimepata fununu,maana lengo langu ni kuipanda mkoani Kilimanjaro shambani kwangu,ispokuwa habari mbaya niliyoipata,ni kuwa mara nipandapo nikaivumilia ndani ya miaka mitatu,wakati wa kuja kuivuna lazima serekali itanipiga BAN / NAMAANISHA MBAO SIO ZAKO NA HURUHUSIWI KUKATA MTI ISIPOKUWA KWA KIBALI MAALUM.
•NAOMBA KUJUZWA ZAIDI KUHUSU HAYA.

Mkuu ni miti gani hiyo ya miaka kuanzia miaka mitatu mpaka mitano? Kwa upeo wangu najua ni miaka saba na kuendelea mpaka kumi/kumi na tano.
 
Mwenye uelewa atajuze..!/
•@uparo tafadhali njoo hapa utujuze!,
Nimepata fununu ipo miti ya miaka 3, 5 na miaka 10.
Pia nimepata fununu,maana lengo langu ni kuipanda mkoani Kilimanjaro shambani kwangu,ispokuwa habari mbaya niliyoipata,ni kuwa mara nipandapo nikaivumilia ndani ya miaka mitatu,wakati wa kuja kuivuna lazima serekali itanipiga BAN / NAMAANISHA MBAO SIO ZAKO NA HURUHUSIWI KUKATA MTI ISIPOKUWA KWA KIBALI MAALUM.
•NAOMBA KUJUZWA ZAIDI KUHUSU HAYA.
Hakuna Miti inayopandwa na kukomaa kwa muda wa miaka 3, isipokuwa, kwa sasa, kuna uoteshaji wa kitaalamu kwa kutumia Clones (Genetic modified species) ndo unaweza kuvuna kwa umri kuanzia atleast 8 years. Na hapo ni kwa species baadhi tu kama vile Eucalyptus(Mikaratusi/Milingoti) na Pines.

Vilevile, hakuna BAN yoyote utakayopigwa kwa kuvuna miti yako hiyo ya kupandwa, isipokuwa kwa ile ya Asili ambayo ni mpaka utimize matakwa muhimu(Leseni). Miti ya kupandwa unajivunia tu ila ukitaka kusafirisha ndo lazima uwe na hati ya kusafirishia, wakati mwingine unaweza kulazimika kuwa na atleast barua ya utambulisho kutoka kwa VEO (Mtendaji wa Kijiji) ulikovuna miti yako ili kuthibitisha kuwa ni mali yako na umeitoa shambani kwako. Over.!
 
Mimi niko mwaka wa 3, degree ya misitu, SUA. Kwa miti aina ya Eucariptus spp, miaka 5 unavuna poles na sio mbao.
Eucalyptus spp, siyo Eucariptus, Bila shaka somo la Botany halijakukaa vema sana. Kwa sasa upo wapi, MLT 7 au Extension? By the way masomo mema hapo SUA, Center of Excellences.
 
***
miti yangu mwenyewe unipangie kuvuna,kwa hasira sipandi./
kwa binafsi sinaufahamu wa kuwa kila ninapokata natakiwa kuotesha mpya maana ndio zao langu LA Kilimo.
Kila kitu kinautaratibu hata kama ni chako lzm ufate sheria
 
We' kama unataka kupanda miti panda, anza sasa, hayo mengine yatafuata baadaye.' We will cross that bridge when we get there'. Biashara au uwekezaji wa miti ni mojawapo ya biashara zinazolipa vizuri sana, haina longolongo, nakushauri anza sasa,
 
sorry for coz somo la com lilikuwa changmoto kwako,hope ulikuwa na 3rd attemp,
Com mama huwa inawakalisha, tena kale kasikokuwa na credit hours watu wanavuta nako mpaka 3rd attempt, yaani mpaka Hashim anasema yaachieni tu haya.
 
Malila
Darasa ulilotoa ni zuri sana hakika huu ni uwekezaji uliouwaza kwa zaidi ya miaka mitatu, unfortunately sikuwahi kupata info nilizozipata kwenye hii thread. Ningelipata mapema labda leo miti yangu ingekuwa na zaidi ya miaka 3. Lakini mungu alikuwa na makusudio yake!

Membership please
lukangaally@gmail.com
 
Kuna upcoming tree investors meeting/training in the southerh highland regions of Tanzania (Iringa). You will be exposed to a lit of things guys

Kuna umuhimu mkubwa wa kuanzisha chama cha wapanda miti mikoa ya nyanda za juu kusini - SOUTHERN HIGHLANDS TREE GROWERS ASSOCIATION ( SHITGA). Kuna maswala kadhaa ya Wizara ya Maliasili yanakera sana. Mojawapo ni hili wanalodai mbao zitokanazo na miti ya kupanda kama pines au eucalyptus ni Maliasili kwa hiyo lazima uwe na Kibali cha kusafirisha na kuuza.

Nimejaribu kuzungumza na watu wa wizara ya maliasili bila mafanikio. Huenda SHITGA itaweza
 
Back
Top Bottom