Sijasikia mtu anayepanda mitiki hasa hasa maeneo ya morogoro. Au hamjasikia fursa upande huu?
Watu wanaotesha mitiki kwa small scale, kwa small scale mitiki haiuziki kwa thamani yake, pia rotation time yake ni kubwa kwa Waswahili wengi kuweza kuvuta subira. Mitiki ina complication kubwa kwenye uoteshaji, kuanzia mbegu kwenye kitalu mpaka uoteshaji, hali hii huwakatisha tamaa Watz wengi.