Sijasikia mtu anayepanda mitiki hasa hasa maeneo ya morogoro. Au hamjasikia fursa upande huu?
Ahsante Kaka,Kwa kule niliko mimi ni kama ifauatavyo.
A) shamba bei ni, 80k, 90k na 100k, kwa hiyo hapa uchague wewe bei unayo mudu, mfano tuchukue 90k kwa eka.
90k x 10 sawa na 0.9M
B) Gharama za kijiji zitakuwa 9000/ x 10 sawa na 90k
C) 10 x 600 x 100/ sawa na 0.6M
D) Upandaji ni 50k x 10 sawa na 0.5M
E) Usafirishaji wa miche 0.15M
F) Chakula 0.1M
G) kuweka fire break kila mwaka 0.2M
I) Vifaa vya kazi 0.15M
Hata kama gharama zitapishana kidogo na maeneo mengine, lakini ziko katika range hizo.
Tuna mambo mengi hadi kichwa kinaenda rivasi, sidhani kama tutafanya, tuna kazi ya kuotesha miti milioni 5 msimu huu, sio kazi ndogo. Tuna kazi ya kupima mashamba desemba hii, labda mwakani February 2017 tukijaliwa kuuona mwaka.Ahsante Kaka,
Ngoja nipige ukokotozi nione kama naweza kukuona,
By the way CHAI DAY ni lini kaka??
Kuna ile ya November au December nadhani
Dah,Tuna mambo mengi hadi kichwa kinaenda rivasi, sidhani kama tutafanya, tuna kazi ya kuotesha miti milioni 5 msimu huu, sio kazi ndogo. Tuna kazi ya kupima mashamba desemba hii, labda mwakani February 2017 tukijaliwa kuuona mwaka.
Nishakujibu kule pm kwako.Dah,
nilikua naivizia hiyo.
Cheki PM basi
nishakujibu kule pm kwako.
Mkuu nimekucheki pm Na sms nikakutumia lakini Kimya
Mwenye uelewa atajuze..!/
•@uparo tafadhali njoo hapa utujuze!
Nimepata fununu ipo miti ya miaka 3, 5 na miaka 10.
Pia nimepata fununu,maana lengo langu ni kuipanda mkoani Kilimanjaro shambani kwangu,ispokuwa habari mbaya niliyoipata,ni kuwa mara nipandapo nikaivumilia ndani ya miaka mitatu,wakati wa kuja kuivuna lazima serekali itanipiga BAN / NAMAANISHA MBAO SIO ZAKO NA HURUHUSIWI KUKATA MTI ISIPOKUWA KWA KIBALI MAALUM.
•NAOMBA KUJUZWA ZAIDI KUHUSU HAYA.
Hakuna Miti inayopandwa na kukomaa kwa muda wa miaka 3, isipokuwa, kwa sasa, kuna uoteshaji wa kitaalamu kwa kutumia Clones (Genetic modified species) ndo unaweza kuvuna kwa umri kuanzia atleast 8 years. Na hapo ni kwa species baadhi tu kama vile Eucalyptus(Mikaratusi/Milingoti) na Pines.Mwenye uelewa atajuze..!/
•@uparo tafadhali njoo hapa utujuze!,
Nimepata fununu ipo miti ya miaka 3, 5 na miaka 10.
Pia nimepata fununu,maana lengo langu ni kuipanda mkoani Kilimanjaro shambani kwangu,ispokuwa habari mbaya niliyoipata,ni kuwa mara nipandapo nikaivumilia ndani ya miaka mitatu,wakati wa kuja kuivuna lazima serekali itanipiga BAN / NAMAANISHA MBAO SIO ZAKO NA HURUHUSIWI KUKATA MTI ISIPOKUWA KWA KIBALI MAALUM.
•NAOMBA KUJUZWA ZAIDI KUHUSU HAYA.
Mimi niko mwaka wa 3,degree ya misitu, SUA. Kwa mit aina ya Eucariptus spp, miaka 5 unavuna poles na sio mbao.Hiyo ya miaka 5 inakuwaje hiyo? Je,, mbao zake zinakuwa zimekomaa?
Eucalyptus spp, siyo Eucariptus, Bila shaka somo la Botany halijakukaa vema sana. Kwa sasa upo wapi, MLT 7 au Extension? By the way masomo mema hapo SUA, Center of Excellences.Mimi niko mwaka wa 3, degree ya misitu, SUA. Kwa miti aina ya Eucariptus spp, miaka 5 unavuna poles na sio mbao.
Kila kitu kinautaratibu hata kama ni chako lzm ufate sheria***
miti yangu mwenyewe unipangie kuvuna,kwa hasira sipandi./
kwa binafsi sinaufahamu wa kuwa kila ninapokata natakiwa kuotesha mpya maana ndio zao langu LA Kilimo.
Nakutakia masomo mema.sorry for coz somo la com lilikuwa changmoto kwako, hope ulikuwa na 3rd attemp.
Asante mwana-SUASO na finalist mwenzangu nilitaka kushangaa, mbao za miti ya miaka mitano zinakuwaje hizo! Hapo umenifumbua!mimi niko mwaka wa 3,degree ya misitu,SUA.kwa mit aina ya Eucariptus spp,miaka 5 unavuna poles na sio mbao.
Com mama huwa inawakalisha, tena kale kasikokuwa na credit hours watu wanavuta nako mpaka 3rd attempt, yaani mpaka Hashim anasema yaachieni tu haya.sorry for coz somo la com lilikuwa changmoto kwako,hope ulikuwa na 3rd attemp,
Kuna upcoming tree investors meeting/training in the southerh highland regions of Tanzania (Iringa). You will be exposed to a lit of things guys