Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu. Malila na mi niunganishe
Mkuu naomba na mie nijiunge na umoja huu ambao ni tunu kubwa ya maisha ya baadae. Naku PM contact yangu sasa hivi.
Nipe e mail yako ili uunganishwe sasa hivi. Na kama uko vizuri upate shamba mapema na 2015 uoteshe kwa sababu may tunaanza maandalizi ya miche. Kuna eka 18 kando ya shamba letu Mufindi, ukiwa tayari sema ili ulipie na msimu huu uoteshe.
Naomba kufahamishwa kwa sasa ukiwa na shamba lako la miti i.e eucalyptus ya miaka 3 (6m high) na ukahitaji kuchukua mkopo, tathmini yake inafanywaje kwa kila mti.
wadau vipi mbegu ya miti aina ya cyprus inapatikana wapi
mkuu malila kuna miti niliiona upareni wanaiita mikaulia hii kwa utalamu inaitwaje
Naomba kufahamishwa kwa sasa ukiwa na shamba lako la miti i.e eucalyptus ya miaka 3 (6m high) na ukahitaji kuchukua mkopo, tathmini yake inafanywaje kwa kila mti.
Sawa mkuu, kama lina hati inakuwaje?Kama Shamba halina Hati kupata mkopo ni karibu na haiwezekani, labda mkopo kwa mtu binafsi. Chakalika upate hati.
Unaweza kupata kwa njia za panya,vituo vya serikali hawana, mara nyingi mi huwa naagiza Lushoto, nikikosa kule naandaa mwenyewe kwa kufuata Makete Njombe
Ila ni vizuri uwe na hati mana kuna baathi ya banki kama huna hati riba inakuwa kubwa sana kutokana risk kwao.CRDB wanaweza kukupa za pine,acrocarpus,kuna jamaa alijaribu kwa hizo aina mbili.
Sawa mkuu, kama lina hati inakuwaje?
Malila nashukuru kwa kutupa uzoefu wako,kwa sasa nimetenga mil5 kwa ajili ya kununua shamba huko iringa,nahitaji heka nyingi kadri ya uwezo wa hela yangu, nasubiria nipate likizo kazini niende iringa kwa kazi ya kutafuta shamba.
Nimejaribu kufanya mawasiliano na watu ninaofahamiana nao ambao wako njombe wananiambia heka naweza pata kwa laki 1 hadi laki 3.Ila kuna jamaa aliandika humu jf kuwa kuna mashamba ya elfu50 kwa heka.
Tafadhali naomba unifahamishe
1; kwa sasa heka naweza pata kwa kiasi gani?
2; je nipitie kwa wanakijiji au serikali ya kijiji
3; je ni vijiji gani kwa uzoefu wako kuna arthi nzuri inayofikika kwa urahisi na inayokubali pinus pitula na cyprus na eucalpyt ya zimbambwe.
Nimeuliza hayo maswali mana sijajua nitapata mbegu ya mti gani wakati wa kupanda ukifika.sasa ninachofanya ni kupata arthi kwanza
Kuna njia nyingine huku iringa unaomba kibali I mean kununua Alf unakata miti ya serikali ipo mingi mingi mingi sana Alf unauza mbao zako saaaafi ilo ni bonge dili sema sasa had kupata kibali kaz ipo sjui ni rushwa au nn kinafanyika apo