Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Okay. Unapoenda 2 & 3 utambue kwamba developer wameacha kutengeneza games kwenye hizo platform. Mod zitahusika zaidi.
 
1. Tatizo uelewa wako mdogo. Aliye suggest 300k kodi sio mimi soma post kabla ya post yangu hata kwa uwezo wako mdogo i think utaelewa 300k nmeitolea wapi.

2. Biashara yoyote lazima iwe na expenses ukianzisha biashara unaona unaanza kuingiza faida invest zaidi kwenye biashara yako. Kama ulianza na ps4 na tv ya inch 32 ukipata faida then invest zaidi nunua ya inch 43 kama ulianza na vibenchi vya mbao invest nunua au tengeneza gud sofa (hata beenie bags) Hapo ndipo maintenance cost nlizopigia mahesabu zinapoingia. Tatizo watu akili mgando rigid mindset kisa umeona genge la uswahili kwenu linatumia vibench vya mbao basi na wewe na akili yako ndogo utaona huo ndo ujanja.

IN BUSINESS ALWAYS REINVEST AND REINVENT IN YOURSELF.

3. Kuhusu kumvunja mtu moyo kama muanzishaji mada anavunjwa moyo na comments he is not ready hata akifarijiwa.

I hope uwezo wako mdogo utaelewa nlichoandika.
 
Sasa kama hujapendekeza nani kakuambia uikazanie. Halafu nimesema hii biashara unaweza usifanye maintenance for several months. Kwan hiyo TV na hizo benches utabadili kila baada ya mwezi? Fikiri wewe.
 
Sasa kama hujapendekeza nani kakuambia uikazanie...
Halafu nimesema hii biashara unaweza usifanye maintenance for several months. Kwan hiyo TV na hizo benches utabadili kila baada ya mwezi? Fikiri ww
Najua unaelewa what i mean tatizo naloona pale unapoanza ku type ubongo wako unazima.

Anyway;
Nilim quote aliesuggest sio wewe wala alieanzisha mada.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Whatever the case lakini siku nyingine shabikia unachokifahamu ili usikatishe tamaa wengine.
Asubuhi njema.
Nlichokiongea ndo nachokifahamu jifunze kuwa na approach nzuri unapom challenge mtu kifikra otherwise utaonekana mpumbvu tu kama navyokuona sasa.

Na narudia tena kama mtu unavunjwa moyo na comment section ya thread its clearly YOU ARE NOT A DOER

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachoweza kukuhakikishia ni kwamba ukijipanga vizuri, biashara ya PS haina hasara. Hakikisha unapata eneo zuri lenye watu wengi hasa vijana (uswazi, chuo, etc).

Hakikisha unaanzia chini lakini unaimprove biashara yako routinely..yaani kama ulianza na PS2 & PS3 jitahidi baada muda fulani una'upgrade eneo, games na vifaa. Wateja wanapenda kuona improvement, hata ikiwa ni kwa kiwango kidogo cha msingi ni kufanya maboresho.

Kingine ni kuhakikisha unaweza kanuni na taratibu ambazo unaamini kwamba zitasaidia kuiwezesha biashara yako kurun smoothly. Katika hilo hakikisha unaweka utaratibu wa kutoruhusu wanafunzi kuingia katika Playstation wakiwa wamevaa uniform hasa muda masomo (hii ni lazima uiweke hata kama utakuwa hufanyi hivyo mara zote, itakusaidia sana). Kanuni zibandikwe ukutani ili kila mhusika aweze kusoma na kuelewa.

Kwenye kukusanya fedha za wateja, hakikisha unakuwa na daftari ambalo utakuwa unarekodi Jina, Muda, na Kiasi kilicholipwa na mhusika. Kumbuka msemo unaosema 'Mali Bila Daftari, Hupotea Bila Habari'!!

La mwisho na muhimu zaidi, pindi unaanzisha biashara yako utapata challenge sana kutoka kwa wazazi na watendaji/wenyeviti wa mitaa/Kata, Be Strong..don't quit! Lakini, hakikisha baada ya kipindi fulani unairasimisha biashara yako kwa kuichukulia leseni na kuanza kulipa kodi TRA. Ninakuhakikishia hakuna 'mshenzi' yeyote atakayekuja kuigusa biashara yako, na ofcourse itafika mbali na kuwa kubwa zaidi huko mbeleni.

Ni ushauri tu, unaweza kuchukua unayoona yanafaa na kupuuzia ya kupuuzwa. Otherwise nikupongeze kwa enthusiasm yako na Mungu akubariki sana.

Tukutane Kazini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani kaka kwa kunitia moyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Ndugu zangu.. nina PlayStation 4 na TV inch 32, jumla nimenunua million 1 na laki 1

Nataka kufungua sehemu ya kufanyia iyo kazi ya kuchezesha games.

Naombeni ushauri maana nikiwaza kiasi nachotakiwa kua nacho nakata tamaa kabisa.

Na kupata hela nyingne imekua jambo gumu kwangu.
 
Duh mi mwenyew nataka Fanya hii mambo ila sijui muendelezo. Njoo inbox tuyajenge mkuu
 
Hakuna biashara hapo. nimeona na pia nimekuwa karibu sana na iyo biashara ni matatizo matupu utaingia kwenye ugomvi na watu utao waajiri bure. emu fikiria unawekeza milion 2 ukitegemea watoto wa shule ya msingi ndo waje wakurudishie iyo ela yako.
 
hakuna biashara hapo. nimeona na pia nimekuwa karibu sana na iyo biashara ni matatizo matupu utaingia kwenye ugomvi na watu utao waajiri bure. emu fikiria unawekeza milion 2 ukitegemea watoto wa shule ya msingi ndo waje wakurudishie iyo ela yako.

Duh [emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…