Kumbe mtaji wake si wa kitoto, umeongea vizuri hapo kwenye walengwa wa huduma hiyoMkuu Nina uzoefu wa hiyo biashara, ila kwa sasa nimefunga natafuta sehemu location nzuri zaidi nihamie.
Nilikuwa na TV nne za Star X inch 32 Kila moja, Play Station 4 ziko 3 na Play Station 3 Moja.
Mwanzoni Ilikuwa inalipa kadri siku zinavyoendaa nikaanza kupata malalamiko ya wazazi kwenda kunishtaki kwa mtendaji wa kata kisa watoto hawa endi Tuition nawakitumwa Wanachelewa kurudi kwao,
Ni biashara nzuri ila uwalenge wateja wanaojitambua vijana wa rika lako sio watoto wa shule
Vijana wa Rika lake ni 'wepi'?Mkuu Nina uzoefu wa hiyo biashara, ila kwa sasa nimefunga natafuta sehemu location nzuri zaidi nihamie.
Nilikuwa na TV nne za Star X inch 32 Kila moja, Play Station 4 ziko 3 na Play Station 3 Moja.
Mwanzoni Ilikuwa inalipa kadri siku zinavyoendaa nikaanza kupata malalamiko ya wazazi kwenda kunishtaki kwa mtendaji wa kata kisa watoto hawa endi Tuition nawakitumwa Wanachelewa kurudi kwao,
Ni biashara nzuri ila uwalenge wateja wanaojitambua vijana wa rika lako sio watoto wa shule
Vijana waliomaliza form 4 au vijana ambao hawasomi kama tukisema kwa umri basi wawe kuanzia miaka 18 kuendeleaaVijana wa Rika lake ni 'wepi'?
Vizuri.Vijana waliomaliza form 4 au vijana ambao hawasomi kama tukisema kwa umri basi wawe kuanzia miaka 18 kuendeleaa
Faida ya wateja wa aina hii wanajitambua wanaweza kujicontrol tofauti na watoto wadogo
Mkuu mm mtaji nilianza na million 3 hivi nilivyopata Faida nikachonga masofa manne nikabandika stika na nikanunua wheel racing game yaani kuna Zile game za car racing unaendesha kwa usukani na gia zakeKumbe mtaji wake si wa kitoto, umeongea vizuri hapo kwenye walengwa wa huduma hiyo
ArushaUko vizuri, mkoa gani upo
Vijana wa Rika lake ni 'wepi'?
hiyo biashara daah
Mwenye ps 3 naitaji Nina laki ipo mfuko wa shati hapa chapu njoo bobo tuyajengeNdugu zangu.. nina PlayStation 4 na TV inch 32, jumla nimenunua million 1 na laki 1
Nataka kufungua sehemu ya kufanyia iyo kazi ya kuchezesha games.
Naombeni ushauri maana nikiwaza kiasi nachotakiwa kua nacho nakata tamaa kabisa
Na kupata hela nyingne imekua jambo gumu kwangu.
Mwenye ps 3 naitaji Nina laki ipo mfuko wa shati hapa chapu njoo bobo tuyajenge
wakuu duka gani linauza playstation PS4 PRO kwa bei nzuri kwa dar?????
makumbusho sehemu gani mkuu, naweza kupata mawasiliano yao????????Makumbusho yapo mengi tuu
Mcheki jamaa anaitwa @gamestoptz yupo instagram ofisi ipo China plaza kkoowakuu duka gani linauza playstation PS4 PRO kwa bei nzuri kwa dar?????
makumbusho sehemu gani mkuu, naweza kupata mawasiliano yao????????
Sawa sawa Kaka[emoji23][emoji23]Huu mchezo nakushauri peleka vijijini huko utapata pesa mnoo
Siku hizi mjini wengi wanazo..