kamwendo
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 900
- 1,923
Mkuu Nina uzoefu wa hiyo biashara, ila kwa sasa nimefunga natafuta sehemu location nzuri zaidi nihamie.
Nilikuwa na TV nne za Star X inch 32 Kila moja, Play Station 4 ziko 3 na Play Station 3 Moja.
Mwanzoni Ilikuwa inalipa kadri siku zinavyoendaa nikaanza kupata malalamiko ya wazazi kwenda kunishtaki kwa mtendaji wa kata kisa watoto hawa endi Tuition nawakitumwa Wanachelewa kurudi kwao
Ni biashara nzuri ila uwalenge wateja wanaojitambua vijana wa rika lako sio watoto wa shule