Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Ninayo ps store ila nilifungua nikiwa nje ya TZ so sikujua kama kuna changamoto hiyo
 
MalcolM XII njoo hapa uone jamaa alivyofungua ps store akiwa TZ
 
Kwa mwanamke changamoto zipo nyingi...wateja wako wote wanaume...wote mashabiki wa mpira au games...inabidi uwe mpenzi wa mpira au games au vyote.. Unatakiwa ujue games wazipendazo na uziweke available, uwe na diploma ya babysitting maana vitoto kama vyote.. Ukiona mambo mengi weka kijana ingawa anaweza kukupiga panga..minimum mtaji itategemea..

Ps 4 ni laki 6 na nusu
Ps 3 ni laki 3 na 20
Padi og za ps 4 ni laki mpka 70(used)
Padi mchina za ps4 ni 70 mpka 50
Padi za ps3 ni 35k mpka 20k
Tv inch 32 ni laki 3 na nusu hadi laki 4 na nusu

Nimeanza na tv 2..padi 2 ps 4..padi 3 za ps 3..ps4 moja na ps3 moja..viti vinne na benchi moja..Mola akijali rizki na uhai ntaongeza tv ya inch 43 na ps 4 nyingine maana naona madogo washaanza kuambizana soon watajaa kipind cha likizo..nimefungua sehemu ambayo nko mwenyewe within maeneo ya jiran...

Naomba kuuliza kwa mnaofanya hii biashara, minimum mtaji ni kama sh ngap? Je kwa mwanamke anaweza kuifanya? Au inafaa kwa wanaume tu kwa kuwa wengi ni mashabiki wa mpira? Naomba msaadak
 
Frem unalipia tsh ngapi boss kwa mwezi?
 
Naomba kuuliza kwa mnaofanya hii biashara, minimum mtaji ni kama sh ngap? Je kwa mwanamke anaweza kuifanya? Au inafaa kwa wanaume tu kwa kuwa wengi ni mashabiki wa mpira? Naomba msaada
Kama we ni mwanmke wachezaj wengi wataleta makuzi sana kwako japo watakuja wengi maan wanaume wengi watataka kuja kwako.

Kuhusu mtaji inategemea na unataka uanze na ps gan 2,3,4au 5 MCHANGANUO wa gharama zake juu huko wameelezea
 
Shukran ndugu yangu, nitakutafuta unisaidie mawili matatu nikishafanikisha mtaji! Barikiwa
 
Wajuvi pad za duka naweza kutumia kwa muda gani kwa matumizi ya biashara
 
Naomba kuuliza kwa mnaofanya hii biashara, minimum mtaji ni kama sh ngap? Je kwa mwanamke anaweza kuifanya? Au inafaa kwa wanaume tu kwa kuwa wengi ni mashabiki wa mpira? Naomba msaada
Anza na million 4 au 5
 
Mkuu umeanza na Ps 3 ngapi ? Na je una ps 2?

Unaweza kunitajia capital uliyo anza nayo?
Yeah..nimeanza na wateja watano siku ya kwanza...just imagine..halafu ni uswaz vitoto kama vyote...nataka ikikaribia likizo niwaongezee ps 4 na tv kubwa ya inch 43 maana najua watajaa balaa
 
Okay
 
Kama we ni mwanmke wachezaj wengi wataleta makuzi sana kwako japo watakuja wengi maana wanaume wengi watataka kuja kwako.

Kuhusu mtaji inategemea na unataka uanze na ps gan 2,3,4au 5 MCHANGANUO wa gharama zake juu huko wameelezea
Hahahahah sema watataka kumbandua kabisa 😂 na akijilegeza watamuweka kweri kweri!
 
Biashara ukiipenda tu lazima utoboe chapu!
 
Habari mkuu, nimeanzisha game center nina ps2 na ps3 mbili hapo baadae nina mpango wa kuongeza ps4 ila nasikia ili usisumbuliwe na polisi lazima uende bodi ya game ili upate kibali je kuna ukweli juu ya hili jambo frem nimechukua uswahilini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…