Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Hq ilikuwa replaced na H hivyo ni same category. Kwenye same benchmark imescore 5700 hivyo haipo mbali na hizo cpu mbili mkuu.Shukran sanaaa mkuu.
Vipi processor yenye namba .HQ mbele.. i7-4720HQ.
Pia mkuu angalia na Budget yako, Alderlake Gen ya 12, core i3 ina nguvu kushinda cpu zote hizo, machine zote hizo ulizotaja hakuna yenye thamani 1m+