Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Nauza PS 3 Sony.

Niliagiza nje nikatumia kwa matumizi binafsi nyumbani ,nilipokuwa busy nikaweka store ,leo nilikuwa natest inawaka ila but ya switch ndo inazingua . Kwa ambaye yupo tayari kununua au ni fundi anicheki pm ,nitauza kwa bei yoyote maana haina kazi tena kwangu sina mda wa kutumia
Switch inazingua kivip mkuu??unafahamu kitu wanaita YLOD?
 
Nauza PS 3 Sony.

Niliagiza nje nikatumia kwa matumizi binafsi nyumbani ,nilipokuwa busy nikaweka store ,leo nilikuwa natest inawaka ila but ya switch ndo inazingua . Kwa ambaye yupo tayari kununua au ni fundi anicheki pm ,nitauza kwa bei yoyote maana haina kazi tena kwangu sina mda wa kutumia
Slim or large?
 
Slim or large?
Mkuu hiyo hapo kwenye picha ,mi nipo Segerea stendi,hii nimeitumia mda mfupi ilipoanza kama kustuck nadhani cd niliyokuwa natumia ilikuwa na tatizo ,hilo tatizo ikasababisha mara ikubali CD au kukataa na pia button ya switch on kama inagoma kufanya kazi,nikaacha ndani sikuhangaika maana nilikuwa busy sana ,sasa majuzi nikakumbuka nikaona ya nini nitengeneze si niuze tu wakati sahivi sina mda wa kutumia.View attachment 2237268
IMG_20220519_185620_865.jpg

View attachment 2237276
View attachment 2237279
 
Hello, naanza na salamu naitwa Dax ni kijana nilie maliza form4 mwaka huu na kushindwa kufaulu. Nimepewa mtaji wa biashara milion moja naitaji kufungua kibanda cha kuchezesha game.

Naombeni wadau tupeane elimu kuhusu biashara hii changamoto zake na faida zake pia je biashara hii je nikiwekeza inaweza kunitoa kimaisha au bora nitafute biashara zengn. Mwisho kabisa kama utakua unauza au una Connection yoyote ninapo weza pata ps4 used nijulie iwe bara au Zanzibar.

Asntn
 
Naweza kuja kufanya hii biashara, we ngoja......... lakini itakuwa kistarehe kwerikweri ila ikiwezekana kimafunzo pia
 
Hii biashara napitaga sehemu kila muda watu wapo wanacheza, ni kama sigara
 
Basi anza na tv moja inch 24 ambayo ni 200,000/= used
Ps 3 ambayo ni 300,000 used
Chumba kwa miezi 6 ni 600,000
Viti,meza na bechi,pazia
Mpaka hela inapelea
 
Back
Top Bottom