fantastic philip
Senior Member
- Oct 17, 2015
- 195
- 688
Kuna ishu fulani hivi ikiwa inatokea mtu unaweza hisi tatizo ni switch ila actually motherboard ndo inakua na shida.
Yaani ukiwa unacheza utashangaa ghafla inazima, inablink kidogo rangi nyekundu na njano kisha inabaki kijani. Ukizima ile switch ya nyuma ukiwasha inawaka na unaweza kucheza hata siku nzima isifanye hivyo.
Hapo ni mwanzoni. Tatizo likikomaa utakuta inajizima frequently na style ya kujizima ni hiyo taa kublink. Tatizo hili linazikumba sana PS 3 Fat na Fat sehu ya switch ni ya ku-touch so it is unlikely switch kua mbovu.
Kama tatizo linafanania na nilichoandika hapa achana na hiyo PS kwakua kwanza utengenezaji wake utaliziba tatizo kwa labda miezi sita au zaidi kisha litaanza upya. Na ikifikia siku ikajizima na taa ikaganda kwenye rangi ya njano hiyo game ndiyo haiponi tena hata ufanyeje hiyo rangi inaitwa YLOD (Yellow Light Of Death)
So kujizima kunaweza kukutrick ukahisi labda ni switch ila actually ishu inakua siyo switch. Storage siyo tatizo as ukinunua hard drives (external) inakaa vizuri tu, utakua na gharama ya kuweka system na kuweka games.
Kwa Dar game za 3 ni 5000 ( Game moja) sijajua ulipo so yaweza kua chini zaidi au juu kidogo.
Ushauri wangu kama ni lazima ununue hiyo game, uliza kama ni fat au slim, akisema tu ni Fat temana nayo huna haja ya kujua huku mbele.
Ipi nzr kwenye ps kati ya fat n slim