Superfly
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 985
- 2,066
Switch inazingua kivip mkuu??unafahamu kitu wanaita YLOD?Nauza PS 3 Sony.
Niliagiza nje nikatumia kwa matumizi binafsi nyumbani ,nilipokuwa busy nikaweka store ,leo nilikuwa natest inawaka ila but ya switch ndo inazingua . Kwa ambaye yupo tayari kununua au ni fundi anicheki pm ,nitauza kwa bei yoyote maana haina kazi tena kwangu sina mda wa kutumia