Ina matter ila hizo Cpu zipo category mbili tofauti.
Zipo cpu zinazoishiwa na U ambazo umeme ni 15W na zipo cpu zinazoishiwa na H ambazo umeme ni 45W.
Hizi za H zinakula umeme na zina perfomance kubwa ndio maana hio 6th gen ya H ina perfomance kubwa kuliko 8th gen ya U.
I7 6700H
View attachment 2337505
I7 8550u
View attachment 2337507
Hio ni upande mmoja wa Cpu.
Ila kuna upande wa pili wa GPU, ile 8th gen ina Nvidia 930Mx na hii 6th gen ina 950M
Gpu zinazoishiwa na MX zinakula umeme mdogo sana tofauti na za M ama ambazo hazina namba kabisa.
930mx perfomance yake
View attachment 2337520
Hii 950M
View attachment 2337523
Hivyo unaona mkuu 950M ina nguvu kama mara 2 ya 930mx, kwenye games itafanya vizuri ila chaji tia maji tia maji.