Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Vipi kuhusu ps4 ulishapata,kama bado nicheki nikuagizie kutoka Dubai.

WhatsApp +971527794329
 
Nmepitia Uzi huu mkuu shukran sana hopefully soon ntakua totally "imizid"[emoji23]
 
GTA (pamoja na magame yanayofanania kama Just cause), na Mpira Fifa/pes ndio magame pendwa,

Magame ambayo unasmash kama vile ya ngumi yanaharibu pad.
Hp Probook Corei7 8th Generation

Ram ddr4 8gb
Storage( HDD) 1000gb
Processor intel i7-8550 cpu up to 3.0ghz with intel turbo boost
Graphics nvidia 930mx
Total graphics 6gb
Dedicated 2gb
display size 15.6 inch
Numeric keyboard
Slim and portable
wifi,hdmi, bluetooth

Mkuu naomba kujua kama hiyo pc inaweza cheza fiffa 2022, god of war, mortal kombat na mengine
 
Unacheza yote hayo kwa 720p, game litakalokusumbua ni kama Cyberpunk linarun kwa 600p tena fps around 20.
 
Huwezi, hio ni laptop. Desktop ndio zinaongezeka.

Laptop unaweza eka external gpu kama ina Thunderbolt port.
Shukran mkuu.. Najuaje kama ina hiyo thunderbolt part?

Na je kati ya hiyo ya juu na hii ya chini ipi ni bora zaidi?
Hp hp pavilion 15-ak004tx
• Core i7 6gen 2.6ghz
• Storage 128gb ssd+1tb hdd
• Ram 8gb
• Screen size 15.6”
• Graphics dedicated 4gb nvidia gtx
• Backlight keyboard
• Full hd resolution 1920x1080

Yaan nichujue ipi kaa ajili ya game?
 
6th

Hii ni nzuri zaidi, sema sio type za kukaa na Chaji.

Nimeigoogle ina Gtx 950m graphics na cpu ni i7 6700H, kama ndio vyenyewe perfomance yake ni kubwa kuliko ya juu.
 
6th

Hii ni nzuri zaidi, sema sio type za kukaa na Chaji.

Nimeigoogle ina Gtx 950m graphics na cpu ni i7 6700H, kama ndio vyenyewe perfomance yake ni kubwa kuliko ya juu.
Kwa hiyo hapa generation ya processor sio matter?
 
Kwa hiyo hapa generation ya processor sio matter?
Ina matter ila hizo Cpu zipo category mbili tofauti.

Zipo cpu zinazoishiwa na U ambazo umeme ni 15W na zipo cpu zinazoishiwa na H ambazo umeme ni 45W.

Hizi za H zinakula umeme na zina perfomance kubwa ndio maana hio 6th gen ya H ina perfomance kubwa kuliko 8th gen ya U.

I7 6700H
Screenshot_20220828-162129.png

I7 8550u
Screenshot_20220828-162119.png

Hio ni upande mmoja wa Cpu.

Ila kuna upande wa pili wa GPU, ile 8th gen ina Nvidia 930Mx na hii 6th gen ina 950M

Gpu zinazoishiwa na MX zinakula umeme mdogo sana tofauti na za M ama ambazo hazina namba kabisa.

930mx perfomance yake
Screenshot_20220828-162948.png

Hii 950M
Screenshot_20220828-163329.png

Hivyo unaona mkuu 950M ina nguvu kama mara 2 ya 930mx, kwenye games itafanya vizuri ila chaji tia maji tia maji.
 
mkuu YLOD sijui ,ila mara ya mwisho ilianza tabia kama kustuck mara unabonyeza kuzima haizimiki,but kuwaka inawaka,na ni haijawahi kufunguliwa au kupelekwa kwa fundi
Kama uliichip basi hiyo shida uwa inatokea sana
 
Ina matter ila hizo Cpu zipo category mbili tofauti.

Zipo cpu zinazoishiwa na U ambazo umeme ni 15W na zipo cpu zinazoishiwa na H ambazo umeme ni 45W.

Hizi za H zinakula umeme na zina perfomance kubwa ndio maana hio 6th gen ya H ina perfomance kubwa kuliko 8th gen ya U.

I7 6700H
View attachment 2337505
I7 8550u
View attachment 2337507
Hio ni upande mmoja wa Cpu.

Ila kuna upande wa pili wa GPU, ile 8th gen ina Nvidia 930Mx na hii 6th gen ina 950M

Gpu zinazoishiwa na MX zinakula umeme mdogo sana tofauti na za M ama ambazo hazina namba kabisa.

930mx perfomance yake
View attachment 2337520

Hii 950M
View attachment 2337523
Hivyo unaona mkuu 950M ina nguvu kama mara 2 ya 930mx, kwenye games itafanya vizuri ila chaji tia maji tia maji.
Shukran sanaaa mkuu.

Vipi processor yenye namba .HQ mbele.. i7-4720HQ.
 
Back
Top Bottom