Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Hq ilikuwa replaced na H hivyo ni same category. Kwenye same benchmark imescore 5700 hivyo haipo mbali na hizo cpu mbili mkuu.Shukran sanaaa mkuu.
Vipi processor yenye namba .HQ mbele.. i7-4720HQ.
Duh.. Wa kwanza anataka 1m wapili 1.5m ni laptop na pia ni used.Hq ilikuwa replaced na H hivyo ni same category. Kwenye same benchmark imescore 5700 hivyo haipo mbali na hizo cpu mbili mkuu.
Pia mkuu angalia na Budget yako, Alderlake Gen ya 12, core i3 ina nguvu kushinda cpu zote hizo, machine zote hizo ulizotaja hakuna yenye thamani 1m+
Mkuu gen ya 12 ndo imetoka probably mtaani hazijafika ama ndo zimeingia kwa uchache. Huko ughaibuni bei rahisi niliyoiona ni $379 ambayo roughly ni 888,000 hivyo approximately huku itakua ni hio 1m.Duh.. Wa kwanza anataka 1m wapili 1.5m ni laptop na pia ni used.
Nahitji kwa ajili ya game, thus naangalia graphic card pia.
Hiyo unayosema kama naweza kuipata na ikanifaa kwa game. Naomba unipe namna ya kuipata..
Hasa kama itakuwa chini ya 1m+... Interesting.
Najua ni late reply lakini kwa faida ya wengine naona bora ununue desktop used ila ziwe tower ata zenye 3rd au 4th gen intel processor nyingi zinakuaga na PSU za watt 300 mpaka 240.. Kariakoo unapata core i5 around 250k tshs unatafuta na graphics card ya kawaida kabisa kama gtx 750ti around 250k au kama budget iko poa ata 1650 au 1050ti zinarange 450k to 600k..hii itakupa uhuru zaidi laptops zinauzwa bei kubwa alafu sinachoka haraka kutokana na heatDuh.. Wa kwanza anataka 1m wapili 1.5m ni laptop na pia ni used.
Nahitji kwa ajili ya game, thus naangalia graphic card pia.
Hiyo unayosema kama naweza kuipata na ikanifaa kwa game. Naomba unipe namna ya kuipata..
Hasa kama itakuwa chini ya 1m+... Interesting.
Mkuu naomba unielekeze ninakoweza kupata fiffa 23.Mkuu gen ya 12 ndo imetoka probably mtaani hazijafika ama ndo zimeingia kwa uchache. Huko ughaibuni bei rahisi niliyoiona ni $379 ambayo roughly ni 888,000 hivyo approximately huku itakua ni hio 1m.
Hio ni perfomance ya i3 1215u gen ya 12
View attachment 2337784ni mara 2 ya hizo i7 na pia graphics inayokuja na hio i3 si haba. Inahandle god of war 30fps 720p low.
Zipo pia zinazokuja na Nvidia mx 550 ambazo ni around $500 (1.2m) hizi utacheza games zote kwa 1080p.
Unaweza kucheki mtaani kama tayari zimeanza kufika. Otherwise itabidi usubiri mwezi/miezi 2 zisambae.
Ya ps4&5??Mkuu naomba unielekeze ninakoweza kupata fiffa 23.
Kama zipo site za kudownload au za kununua official naomba kujua maana naona watu wansema wanazo ila wanapotoa hawatwambii..
Ps 4 mkuu na pcYa ps4&5??
Pc kinguin wanalo $44 pre order.Ps 4 mkuu na pc
Jaribu kuwacheck gamestore wapo makumbusho dsm ingia insta search gamestore utawaonaPs 4 mkuu na pc
Sipo dar bro.. Hao wanataka upeleke console wakuwekeeJaribu kuwacheck gamestore wapo makumbusho dsm ingia insta search gamestore utawaona
Hii ni sawa na Tsh ngapi? Kwa sasa?Pc kinguin wanalo $44 pre order.
La magumashi sidhani kama lipo.
Around 102,000 kabla ya charges.Hii ni sawa na Tsh ngapi? Kwa sasa?
Ila unaweza wacheck wakupe msaada ata namna ya kuinstall mwenyw tofaut na hvyo subiria mpaka CDs zitokeSipo dar bro.. Hao wanataka upeleke console wakuwekee
Kuna style za kuinstall game mtu ananunua game lets say Fifa ananunua Origin ama Steam, then analogin na account yake anakuwekea game kwako, then anaiset steam iwe offline, hapa unacheza game kama umenunua vile,Sipo dar bro.. Hao wanataka upeleke console wakuwekee
Bro me nashukuru, ila hao wengi huwa hawakwambii namna ya kuinstall mwenyewe, wanataka ukanunue kwao.Ila unaweza wacheck wakupe msaada ata namna ya kuinstall mwenyw tofaut na hvyo subiria mpaka CDs zitoke
Kwa PC ni rahisi una option ya kununua steam, origin na EA app etc.. Better option apo ni origin na ea app.. Huku kwetu tunanunua kupitia region ya Sauzi... Rate ni kwa Zar.... Zingatia uwezo wa PC yako Fifa 23 ni very demanding.... Linahitaji mashine yenye uwezo mkubwa ili ucheze vizuri... Unaweza subiri around December kunakuaga na discount last year fifa 22 lilicost around 60k decemberMkuu naomba unielekeze ninakoweza kupata fiffa 23.
Kama zipo site za kudownload au za kununua official naomba kujua maana naona watu wansema wanazo ila wanapotoa hawatwambii..
Ni rahisi tu ukishanunua una download kama gb 40 ivi shughuli imeisha.. We ingia online and downoad origin au ea app.. Afu tafuta fifa 23 baada ya apo unatumia visa au mastercard kulipia.... Unaweza kutumia airtel money mastercard au Mpesa VisaBro me nashukuru, ila hao wengi huwa hawakwambii namna ya kuinstall mwenyewe, wanataka ukanunue kwao.
Hii option ya mtu kuingiza details zake ina masharti magumu.. Inabidi pc isijiupdate ikiupdate imekula kwako... Ni better mtu kununua inakupa uhuru wa kucheza online... FIFA utaenjoy zaid onlineKuna style za kuinstall game mtu ananunua game lets say Fifa ananunua Origin ama Steam, then analogin na account yake anakuwekea game kwako, then anaiset steam iwe offline, hapa unacheza game kama umenunua vile,
Sema siku Steam wakijiskia tu wakakwambia uweke login credential inakula kwako, so long term hii njia si nzuri.