Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Ni rahisi tu ukishanunua una download kama gb 40 ivi shughuli imeisha.. We ingia online and downoad origin au ea app.. Afu tafuta fifa 23 baada ya apo unatumia visa au mastercard kulipia.... Unaweza kutumia airtel money mastercard au Mpesa Visa
Shukran bro.. Notajaribu
 
Habar wakuu naomb kuuliza mwny uzoefu na biashara ya playstation
 
New PS 5(full box)
♟️ Internal storage: 1TB
♟️ Controller(s): 1
♟️ Condition: Excellent
😋 Tsh.2,100,000



Call/WhatsApp/SMS: +2556 8760 0847

📍Dar es Salaam
 
Sio kweli, hizo ni propaganda tu, gemu zinauhitaji mkubwa wa kiakili ili usolve misheni zake mwenye akili iliyoharibika hatoweza
Hivi tuseme wale waliokuwa wakicheza gemu ya snake kwenye nokia za tochi walitokwa na akili sio, badala yake inataka upambane ufikie high score zaidi kuliko ulipoishia kwaivo lazima akili itulie kwani kila nyoka anapoongezeka urefu ndio inakuwa taabu sana kumuendesha, hapo huwezi kutokwa na akili mdau,
Sasa kuna hizo God Of War na akina Resident Evil, ni mind challenger kweli zinataka lazima uwepo ki akili na ki mbinu, mbona hamuwKatazi watoto kucha kuangalia filamu ambazo ndani yake kuna bloody violence, toture, sex references na hata strong language.
 
Sadio mane mwenyewe sikumuelewa alivo sema games zinapoteza muda
 
Ondoa utapeli, siku hizi hakuna malipo ya online. We mtu sikujui nikulipe hela chungu mzima halafu hapo hapo nianze kusubiri.

Wewe sema duka lako liko wapi, mtu aje mkubaliane bei aondoke na bidhaa yake.
😃😃😃😃😃😃😃😃
 
Apo chacha sijui wakariakoo wanamatatzo gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…