Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Ni rahisi tu ukishanunua una download kama gb 40 ivi shughuli imeisha.. We ingia online and downoad origin au ea app.. Afu tafuta fifa 23 baada ya apo unatumia visa au mastercard kulipia.... Unaweza kutumia airtel money mastercard au Mpesa Visa
Shukran bro.. Notajaribu
 
Habar wakuu naomb kuuliza mwny uzoefu na biashara ya playstation
 
New PS 5(full box)
♟️ Internal storage: 1TB
♟️ Controller(s): 1
♟️ Condition: Excellent
😋 Tsh.2,100,000

images (5).jpeg


Call/WhatsApp/SMS: +2556 8760 0847

📍Dar es Salaam
 
Mkuu kama wewe ni great thinker usifanye hii biashara, naichukia sana, inafanya watoto wawe wajinga sana, Huu utandawazi unawaathiri sana watoto, make wanatoroka shule na kwenda kucheza hizo game, usiangalie tu pesa, au uweke sheria kwamba masaa ya shule hakuna mtoto kusogea hapo.
Sio kweli, hizo ni propaganda tu, gemu zinauhitaji mkubwa wa kiakili ili usolve misheni zake mwenye akili iliyoharibika hatoweza
Hivi tuseme wale waliokuwa wakicheza gemu ya snake kwenye nokia za tochi walitokwa na akili sio, badala yake inataka upambane ufikie high score zaidi kuliko ulipoishia kwaivo lazima akili itulie kwani kila nyoka anapoongezeka urefu ndio inakuwa taabu sana kumuendesha, hapo huwezi kutokwa na akili mdau,
Sasa kuna hizo God Of War na akina Resident Evil, ni mind challenger kweli zinataka lazima uwepo ki akili na ki mbinu, mbona hamuwKatazi watoto kucha kuangalia filamu ambazo ndani yake kuna bloody violence, toture, sex references na hata strong language.
 
Sio kweli, hizo ni propaganda tu, gemu zinauhitaji mkubwa wa kiakili ili usolve misheni zake mwenye akili iliyoharibika hatoweza
Hivi tuseme wale waliokuwa wakicheza gemu ya snake kwenye nokia za tochi walitokwa na akili sio, badala yake inataka upambane ufikie high score zaidi kuliko ulipoishia kwaivo lazima akili itulie kwani kila nyoka anapoongezeka urefu ndio inakuwa taabu sana kumuendesha, hapo huwezi kutokwa na akili bro
Sadio mane mwenyewe sikumuelewa alivo sema games zinapoteza muda
 
Ondoa utapeli, siku hizi hakuna malipo ya online. We mtu sikujui nikulipe hela chungu mzima halafu hapo hapo nianze kusubiri.

Wewe sema duka lako liko wapi, mtu aje mkubaliane bei aondoke na bidhaa yake.
😃😃😃😃😃😃😃😃
 
nimepitapita mitandaoni kuona bei ya hizi PS kuna kitu nimegundua, bei ya Tz ipo juu sana ukilinganisha na bei ya kenya sijui shida ni nini mpaka bei ya kwetu inakiwa juu karibia mara mbili ya bei ya kenya. PS4 mpya ile slim ya 500Gb kenya inauzwa around 400k - 500k Tshs, huku kwetu wanauza zaidi ya 750k
Apo chacha sijui wakariakoo wanamatatzo gani
 
Back
Top Bottom