Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Ushauri kuhusu biashara ya play station na Kati ya ps2 n ps3 ipi wateja wapenda zaiidi na bei per time ya kucharge kwa ps2 na ps3
 
Ushauri kuhusu biashara ya play station na Kati ya ps2 n ps3 ipi wateja wapenda zaiidi na bei per time ya kucharge kwa ps2 na ps3
Niliwahi kufanya hii mkuu. Watoto walikuwa wanapenda sana Ps2 na wachache PS 3.

Bei...Ps 2 nusu saa ni 500 Ps 3 ilikuwa 1000/ per 30 minutes
 
Nafanya hii biashara na dream yangu ni kuwa na center za kutosha sababu binafsi Napenda Sana games ni nzuri Ukifanya kwa hobby Usitegemee faida mara moja inachukua muda mara pad mbovu,mara flash imeibiwa nk but Ukiweka sehemu nzuri Unapiga hela.
 
Ni hiv hutokana na hali ya uchumi kwa kwa sasa nataka nianze na moja kwanza kisha baada ya.faida ndio nitaongoza.
 
Mimi najipanga mwakani najilipua waibe pesa wasisome walalamike me niashara nitafanya katikati ya shule nbili
Hahhaha mkuu umenifurahisha. Hakuna huruma mbele ya pesa halali japo hii inanusu halali nusu haramu. Mm pia najipanga kufungua maeneo flan karibu na shule na sitajali kelele zozote kwakweli.
 
Wana JM naomben mnisaidie kuhusu biashara ya PS inalipaje?
Ni vitu gani muhimu wakati wa kuanza?
Na je kwasasa hivi ipi nzuri kwa kuanzia Ps2, Ps 3 au Ps 4 ?
Pia changamoto zake ni zipi?
 
Hahhaha mkuu umenifurahisha. Hakuna huruma mbele ya pesa halali japo hii inanusu halali nusu haramu. Mm pia najipanga kufungua maeneo flan karibu na shule na sitajali kelele zozote kwakwel
hahaahahahaha
 
Jamn mimi nina mpango wa kufungua kabiashara ka games (playstations) hapa mtaani kwetu. Je, ninaweza kusajili na kupata TIN kama biashara halali?
 
Back
Top Bottom