Habari ndugu, marafiki na jamaa!!, naomben ushauri juu ya biashara hii ya ng'ombe, mbuzi au kondoo kuhusu soko na gharama za usafiri kutoka Ruvu(pwani) hadi sokoni!!, lakin si mbaya kama kuna mfanyabiashara hiyo akashirkiana nami!!!. huwa mm nanunua kwa wafugaji na kuuza kwenye masoko ya huku porini ambayo hayana bei!!.
Masoko gani ya porini unayosema? Au una maana minada ya Ngererngere, nk? Ninachokijua ni kwamba kuna wale jamaa wa Comoro, huwa wanakuja sana pande za Vigwaza mpaka Talawanda kununua mbuzi, hujawahi kutana nao hao jamaa kweli? Au hujui kama wapo? Maana hao hununua kwa bei ya juu sana.
yap!, mm binafsi naishi vigwaza na minada nnayotumiaga ni ya vigwaza, ruvu, kwala, chamakweza, ngerengere, gwata n.k... ila mm siwajui kukutana na hao jamaa wa comoro unaowasema wewe na sijui kama kweli wanakujaga hadi huku!. sasa swali langu "ntawezaje kuonana vip na hao jamaa?" coz ingekua vizuri sana kwa kushirikiana nao kwani watanirahishia soko nao nitawarahisishia uhangaikaji wa kutafuta bidhaa hiyo!. pamoja na hayo yote nakushkuru sana kwa ushauri wako kwani umenifungua kiasi flani.
Swali zuri sana hili,Kwan soko lao lipoje huko comoro?, wanaenda kufuga au kuchinja?, kwani kule comoro kuna uhaba wa hizo mifugo?.
Kwan soko lao lipoje huko comoro?, wanaenda kufuga au kuchinja?, kwani kule comoro kuna uhaba wa hizo mifugo?.
yap!, Nadanya na Pingo napajua sana mkuu Malila japo pingo ndo near xana!, ng'ombe, mbuz na kondoo ziko kbao hku ila ishu ni masoko!!.
Kwan soko lao lipoje huko comoro?, wanaenda kufuga au kuchinja?, kwani kule comoro kuna uhaba wa hizo mifugo?.
Mimi ninayo bucha iko kitumbini dsm inafanya kazi tangu 1978 natafuta mtu anaye weza kuniletea nyama ya n'gombe isiyo kua na mafuta sana nyama nzuri na bei iwe kwa kilo 4200 maanake anaye niletea kafariki na mtoto wake kapandesha bei sana
mimi nauza kuku aina zote ya samaki mbuzi soseji kwahiyo atakaye taka kufanya kazi daima na mie just pm me
mcomoro anakufuata hata kama uko shinyanga na wanabei nzuri anakuja kununulia hapohapo unapofugia kusafirisha juu yake.Tatizo la biashara ya COMORO lazima uwe na Mwenyeji wakule vinginevyo Biashara itakudodea napia Pamoja na umwinyi wao pi kunautapeli ni Mwingi