Habari ndugu, marafiki na jamaa!!, naomben ushauri juu ya biashara hii ya ng'ombe, mbuzi au kondoo kuhusu soko na gharama za usafiri kutoka Ruvu(pwani) hadi sokoni!!, lakin si mbaya kama kuna mfanyabiashara hiyo akashirkiana nami!!!. huwa mm nanunua kwa wafugaji na kuuza kwenye masoko ya huku porini ambayo hayana bei!!.
Tuwasiliane na mimi just PM. Nafanya hiyo biashara sana tu, nachinja na "kugalagaja" pale pugu mnadani. Tuwasiliane twaweza fanya kitu kizuri zaidi.