Biashara ya mifugo (ng'ombe, mbuzi, kondoo n.k)

Habari ndugu, marafiki na jamaa!!, naomben ushauri juu ya biashara hii ya ng'ombe, mbuzi au kondoo kuhusu soko na gharama za usafiri kutoka Ruvu(pwani) hadi sokoni!!, lakin si mbaya kama kuna mfanyabiashara hiyo akashirkiana nami!!!. huwa mm nanunua kwa wafugaji na kuuza kwenye masoko ya huku porini ambayo hayana bei!!.

Nitafute kwa 0786 272 120 tuongee zaidi
 
mcomoro anakufuata hata kama uko shinyanga na wanabei nzuri anakuja kununulia hapohapo unapofugia kusafirisha juu yake.

Nazungumzia mtu anaetaka kupeleka Mwenyewe mzigo kule Lazima azingatie 7bu ninaerafiki yangu yy alikuwa anapeleka Viazi mpaka ss kaumia,,,!!
 
Hawa jamaa usikubali biashara ya mali kauli, ni cash cash huku huku Bongo. Kiazi na kitunguu kinalipa sana huko Comoro, tatizo jamaa ni matapeli kiaina.

Bado nafuatilia kwa huyu mama, sijui yuko Masaini ndani kule, hewani hapatikani.
 
mambo hayo ya malikauli ni sumu kwa biashara na mambo ya kiutapeli ni ujinga wa mtapeliwa!. biashara ni nipe nikupe basi ukiona mtu anamaneno meng basi huyo si mfanyabiashara au mtafit wa biashara!!. alaf mambo ya madalal yanin?, wakat madalal weng ni wezi?, kaz unaweza kufanya usimpe dalali bhaanah!. si kila mtu anatapeliwa.
 
Nikweli ndg hawa jamaa wanajifanya watu wa DINI lkn kwenye BIASHARA ni waHUNI dada 1 alikuwa na kamtaji kake akampata m2 wa huko akamwambia Apeleke VIAZI MVIRINGO, Nnavyokwambia tangu mwaka Jana hadi leo Hajalipwa! Nimuhimu kuyajua haya B4
 
mambo hayo ya malikauli ni sumu kwa biashara na mambo ya kiutapeli ni ujinga wa mtapeliwa!. biashara ni nipe nikupe basi ukiona mtu anamaneno meng basi huyo si mfanyabiashara au mtafit wa biashara!!. alaf mambo ya madalal yanin?, wakat madalal weng ni wezi?, kaz unaweza kufanya usimpe dalali bhaanah!. si kila mtu anatapeliwa.
we hao ng'ombe unawanenepesha kwa mashudu,ama wewe hununua na kuuza,wacomoro wanataka ng'ombe mwenye ujazo,je pia huwa unauwezo wa kupata ng'ombe wangapi,30,50?.
 
Ni kweli wangeweka wazi ni wapi hao wacomoro wanapatikana,
kuwapata hao wacomoro mpaka uwe na connection na wafanyabiashara wanaouza ng'ombe pale pugu.

Kuna kipindi nilikua nafanya nao kazi,nafahamiana nao wengi ngoja nikipata mda nntawacheki wanipe update.
 
Kwan soko lao lipoje huko comoro?, wanaenda kufuga au kuchinja?, kwani kule comoro kuna uhaba wa hizo mifugo?.
hawafugi wanachinja na wengine wanasafirisha nyama kwenda mashariki ya kati.
 
kuwapata hao wacomoro mpaka uwe na connection na wafanyabiashara wanaouza ng'ombe pale pugu.

Kuna kipindi nilikua nafanya nao kazi,nafahamiana nao wengi ngoja nikipata mda nntawacheki wanipe update.

Tusaidie mkuu,walau tunaweza safirisha vibeberu vyetu huko badala ya kulaliwa bei na wahuni wa Vingunguti.
 
Naendelea salama,nahangaika huku kwenye biashara nisije nikashindwa kulipa hospital bills,
Kuna mahali taarifa za Jawilat kuumwa, ni wewe? Kama ni wewe pole, vp unaendeleaje?
 
Vip!, so wanunuz walioweng pale Pugu wanasafrisha kwenda Comoro?. ng'ombe 30,50 walioshba inabid uwe na Mzigo wa ukweli wa pesa!, mm binafsi sinenepesh ila ni kununua na kwa wafgaji na kuuza!!, kuhusu ng'ombe nzito ni uwezo wako2 wa kipesa!!!.
 
una wastani wa bei gani,nakuuliza ili nikiwambia jamaa wakiwa interested ntakuconect.
 
pugu ni soko,naongelea wafugaji walioko mikoani hasa kanda ya ziwa,ambao huleta ng'ombe hapo pugu,hawa ndo wanakua wanafahamiana na wacomoro ambao wakati mwingine badala ya kununulia ng'ombe pugu huwa wanazifuata hadi huko mikoani mfano mwanza,shy etc.
 
una wastani wa bei gani,nakuuliza ili nikiwambia jamaa wakiwa interested ntakuconect.

kuhusu bei ni ya kawaida xo inategemea bidhaa ikoje kinachohtajika ni kuona na kurdhika na bidhaa then maelewano yatasawazisha kila upande!!!.
 
Tusaidie mkuu,walau tunaweza safirisha vibeberu vyetu huko badala ya kulaliwa bei na wahuni wa Vingunguti.

dah!, hii ni changamoto 1wapo coz unapmfuata tu m2 alaf unamwambia2 nnabiashara nataka pakuuzia, kwanza atafkiria mengi kuhusu ww either zimekudodea or ni za wiz!, xo atatumia mwanya huo kukulalia badala ya kukufanikisha!!!. tuangalie xana hili.
 
mi nashangaa unasema huna soko la ng'ombe,soko la ng'ombe liko pugu na biashara hailali ukifikisha ,malipo ni cash,ushawahi kwenda pugu kufanya research.naona hutaki kunipa wastani wa bei unayouzia,nami inaniwia vigumu kukutafutia jamaa.

Ila nitoe mfano tu kuwa waweza nunua ng'ombe kwa laki 4 ama 5,hapo pugu ukamuuza kwa laki7 hadi nane.
Wanaonenepesha hununua ng'ombe waliokonda hata kwa laki 3 ama 4,wananenepesha kwa gharama ya wastani wa tsh laki moja kwa ng'ombe kisha wanauza pugu kwa hadi laki 8
 
sijawahi fika pugu m2wang ila ni kwamba wastan wa ng'ombe wa kawaida ni lak3.5 had 5!, na kuhusu usafir na makato mengine hadi huko inatakiwa ng'ombe wakiwa wachache wasipungue wangapi?, ili faida iwepo ukishatoa gharama za njiani hadi kufkisha sokoni!.nlisema soko hukuhuku coz mm binafs nimedeep zaid kwenye minada ya kifugaji na wafugaji wenyew coz mm mwenywe ni mfugaj!!.
 
Back
Top Bottom