Biashara ya movies za nje ni 🔥 sana Kkoo, ni nini kiliua soko la filamu za Tanzania?

Wtf wewe unafazani angestuck pale pale wewe umuch now mwingi industry aihitaji only people behind the camera inahitaji pia na vifaa kwa taarifa yako kuna wasanii wa huko mbele ni waigizaji, script writer, director na movie inakwenda na ambavyo hujui nakuona kama mlisha NG'OMBE muda wotee unawaza nyasi
 
Mtu anayesema bora comedy hajaona comedy za kenya.Sisi mtu akikaza na style ya comedy basi atakaza nayo hadi izoeleke.mfano mkojani ingebid awe ashatafuta ubunifu mwingine zaidi ya lafudhi yake ya kipemba
Mi kusema ukweli wakenya nawakubali sana wako well organised...movie za kawaida ila maudhui yako poa sana.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila siri ya mtungi ilikua poa sana..wale jamaa walini vutia sana..sema ile ilika imefadhiliwa na international NGOs kwa lengo la ku advocacy reproductive health.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida bongo movie haina think tank. Wamejaa wajinga wajinga tu... Ndio maana hawawezi kwenda kokote.

Wenye akili nchi hiyo wamejaa mashaka.. na.wapuuzi ndio wana full confidence.. na hawaambiliki juu ya yote sio wavumilivu.

Wanataka kulipua lipua, kujenga umaarufu wa haraka na vijihela vya kwenda kusumbulia mademu mitaani..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ila siri ya mtungi ilikua poa sana..wale jamaa walini vutia sana..sema ile ilika imefadhiliwa na international NGOs kwa lengo la ku advocacy reproductive health.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na "BAHASHA" hiz movies zilichukuwa waigizaji wazur na wengne mle ni watu waliosomea na ni maprofesa wa sanaa.
Mmoja ni mkufunzi wa chuo cha sanaa bagamoyo
 
hakuna sponsor atakaekuja kumwaga hela bila kuwa na ushawishi wa maana, moja ya mbinu wanazotumia maproducer/choreographer wa nje ni kutengeneza short clip ya kitu anachokiamini,

chukulia mfano huyu jamaa, sio mbongo ila yupo Arusha hii ni clip ya kwanza ya project yake ya adam
unaona kabisa kuna kitu hapa ni ni project ambayo unaweza ku invest.

pia kuna jamaa anaitwa zach sijui kama unamfahamu alikuwa vine, sasa youtube, jamaa alikuja kula shavu mpaka Zootopia,

hii biashara ina risk sana, hasa kibongo bongo ambapo watu wengi wana sifa za upigaji.
 
Hakika!! Hapa ndio tunarudi katika creativity inahitajika development ya mawazo mapya yanahitajika. Binafsi nilitengeza script na idea ya kipindi nikashare na rafiki ambaye yupo katika industry ya Audiovisuals kwa Latin.

Later on naona text like "Sergio nina tip ya pesa hapa, are you in?" Kuongea nae akasema idea yako nimempatia Sky wakati tunashoot. Oke nikapokea japo kidogo na go ahead ikatokea later naskia credit wakati wa session husika.
 
Kama unaangalia comedy za Kenya (Churchill show) au Nigerians aisee huyo sijui Mkojani ni zero kabisa....
 
Sio filamu tu
1. Elimu taabani

2. Afya taabani

3. Filam taabani

4. Demokrasia taabani

5. Taarabu taabani

6. Mziki wa dansi, msondo, sikinde, nk taabani

Kila kitu taabani, yamebaki majungu, uzandiki, uzushi, matusi na uropokaji.

Kazi ya CCM
Na kwenye unafiki kujipendekeza ni A+
 
Umemaliza kila kitu. Ukikata kudumaza akili zako basi angalia hizi movie.
 
Ni kweli lakini mambo haya ndani ya miaka kumi ijayo yanaenda kupotea kabisa kwa mfano kwa sasa mpaka ma dencer waliograduate wapo
kuna kazi ambazo zamani watu waliokuwa wanajiona hawawezi kufanya kwa kuwa tu wamesoma wanataka ajira lakini siku hizi mambo ni tofauti wasomi wataingia kwenye movies na ndipo utaona matokeo
 
Wachawi wa kwanza ni sisi wenyewe tunapenda sana vitu rahisi na vya bure kwa hiyo tuendelee kutegemea kazi mbovu kutoka kwa hawa watu milele
Hizo kazi zenyewe za kizungu ni wacheche wanazipata kihalali wengi wao ni wezi
 

Tunawalaumu bure mkuu
Just imagine movie kama cherry imecost around 40 million dollars
Je hata akitokea mtu yuko tayari kusupport hawa wasanii je swali ni kwamba?! Nani atakuwa tayari kununua ili wapate faida waweze kutuletea na kazi bora zaidi
 
Wachawi wa kwanza ni sisi wenyewe tunapenda sana vitu rahisi na vya bure kwa hiyo tuendelee kutegemea kazi mbovu kutoka kwa hawa watu milele
Hizo kazi zenyewe za kizungu ni wacheche wanazipata kihalali wengi wao ni wezi
Cd bongo movie 5000 ina part 1 baadae tena part 2 5000 Tena. Quality ni cd ya kawaida hata HD haifiki.

DVD za kihalali za movies bongo zilikuwepo kibao bei humo humo 5000 kwenye macover ya plastic, DVD moja movie moja,

Hata sasa hivi ukigoogle movie OG kwa quality ndogo ya DVD bei ni sawa ama rahisi kushinda Bongo movie.

Issue ni kazi zao mbovu labda ziende Kenya ila ngumu kwa movie za bongo kuuza kimataifa.
 
Umesaha hiyo part 1 ina dakika 45, part 2 ina dakika 40
 
Kwani nyie kwenye filamu hizi zetu huwa mnajifunza nn!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwani nyie kwenye filamu hizi zetu huwa mnajifunza nn!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mengi sana kama ukiwa na hasira au mtu akikishitua uku umebeba glass au sahan inatakiwa uiachie idondoke chini ipasuke, maisha ya chuo ni bata sana, ulinzi(gatekeeper) ni kaz ya wendawazimu (mm mwenye akil timamu siwez ifanya) mwenye nyumba wote wanaroho mbaya, ngoja niishie hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…