Kamukhm
JF-Expert Member
- Aug 30, 2015
- 2,801
- 4,212
Yaani mpaka unahisi inamaana jamii ya kitanzania haina maswala positive ya kushare!?Mengi sana kama ukiwa na hasira au mtu akikishitua uku umebeba glass au sahan inatakiwa uiachie idondoke chini ipasuke, maisha ya chuo ni bata sana, ulinzi(gatekeeper) ni kaz ya wendawazimu (mm mwenye akil timamu siwez ifanya) mwenye nyumba wote wanaroho mbaya, ngoja niishie hapo
Tunarudi pale pale.. drop outs ndio waigizaji.. mtaji ni sura na kukosa aibu.. ukiwa na sura aibu tunakupa ganja.
Ukimaliza kuuza sura unagraduate kuwa chawa au jimama la mjini. Kidoooogo siasa na wajumbe lazima wakufanyie ubaya..
Tasnia hiyo hapa nchni ni hopeless.. na kilinge cha wenye hela kujipatia watoto wazuri ambao mwisho wanawaharibia maisha. Pedophilia..
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app