Pole sana bro, inahuzunisha na pia inatuchekesha sana kwa sie ambao bado hatujaingia kwenye biashara.Hata biashara ya wanyama ni mbaya. Niliwahi kununua Ng'ombe Mia kutoka Mbeya kwa ajili ya kuja kuuza Dar.
Kufika Iringa nikakuta Ng'ombe wote wamekonda.
Sijui wale wahuni waliwapiga sindano wale
Kufikika kibaha nilikokuwa napaki 21 wakafa
Mchele haupakwi mafuta ili ung'ae. Mchele unapakwa mafuta ili kuzuia usipate fungus kama utakaa muda mrefu store na ukapata unyevunyevu.Huo sio umafia ni upuuzi.
Siku nilipojua kwamba mawe yanawekwa ktk mchele ili kuzidisha kilo,na mchele unapakwa mafuta ili ung'ae kuonekana ni mpya,nilijiskia aibu sana kuwa mbongo.
Kuna vitu vya kijinga vinatughalimu sana hasa mbele huko ktk masoko ya watu makini,nimekumbuka story ya wanunuzi wa pamba kukuta mawe ktk marobota[emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Alikuwa hajui, msamehe.Mchele guwa unapakwa mafuta ili usiharibile,kupungua siyo kungara bwana wewe
Usisafiri nao kipande kirefu bila chakula kizuri kwa maana watachoka na wataishiwa nguvu.Hata biashara ya wanyama ni mbaya. Niliwahi kununua Ng'ombe Mia kutoka Mbeya kwa ajili ya kuja kuuza Dar.
Kufika Iringa nikakuta Ng'ombe wote wamekonda.
Sijui wale wahuni waliwapiga sindano wale
Kufikika kibaha nilikokuwa napaki 21 wakafa
Kuna ndugu yangu na hela zake za mawazo miaka hiyo ya 1990's alienda kutest biashara ya mkaa. Akabeba kwenye lori kubwa mkaa top.Ushawahi kufanya biashara ya Mbao wewe? Omba Mungu sana yasikukute[emoji3][emoji2][emoji1][emoji16]
Vipi kuhusu Malimbichi? We dalali uliyenidhulumu Mahindi yangu ya Gobo niliyohangaika nayo miezi 4 huku Makete Mungu anakuona.
Inasikitisha, nilichofanyiwa kwenye mbao pamoja na kwenye Gobo. Mungu anaona.Kuna ndugu yangu na hela zake za mawazo miaka hiyo ya 1990's alienda kutest biashara ya mkaa. Akabeba kwenye lori kubwa mkaa top.
Balaa likaja kuna mpuuzi alikuwa anavuta sigara sijui alitupa kipisi mule ndani ule upepo kitu kikakolea, balaa lake ni masaa machache baadae. Moto uliowaka ulikuwa sio mchezo maana ulikolea kuanzia chini kuja juu, ukalipuka ghafla ukiwa umeshashika vizuri hapo kati kmmmke ilikuwa ni comedy moja matata. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MKuu ukijua ya mbele haina maana unajua na ya nyuma,biashara zina mambo mengi,wewe unajua hilo moja.Mchele haupakwi mafuta ili ung'ae. Mchele unapakwa mafuta ili kuzuia usipate fungus kama utakaa muda mrefu store na ukapata unyevunyevu.
Usipopaka mafuta, kuna hali hutokea ukikaa store muda mrefu unatengeneza kama vumbi hivi ambalo litatengeneza wadudu kama funza ambao watakuja kuzaa wadudu fulani hivi wadogo size kama ya sisimizi wanaharufu mbaya kama jasho la beberu la mbuzi.
Wale wadudu wakikaa humo kwenye mchele wanautemea ile harufu ya mbuzi mchele unakuwa unanuka kama ulilaliwa na beberu la mbuzi, ukipika ile harufu ndio utaipata kwenye ladha muda wote.
So usiozungumze jambo bila kufahamu ukweli wake kutoka eneo husika kwa wahusika.
nimeandika kwa utulivu kabisa kwamba watu wanatia mawe ktk mchele ili kuzidisha kilos,wewe unazungumzia mpunga!!!Kuhusu mawe, kwann ununue mchele ambao umeshapakiwa kwenye mifuko?
Unakoboa mpunga kiroba kimoja unautest kwa kuutafuna utaona ladha yake.
Mbegu nzuri ni ile ya Zambia ambayo imelimwa sana Kyela na Kamsamba, hizi mbegu za kisasa kama "Saro 5" ni takataka na hazina ladha kabisa.
Jambo lingine mashine za kisasa huwa zinatenga Pumba,Mawe,Chenga na Mchele visiwe pamoja. So ukiona mchele wako una mawe jua kuna mtu kaumimina kwa mkono ila sio kutoka gunia la mpunga maana mashine inayatoa mawe yenyewe na kuyatupa kando.
Unaijua sababu ya kwanini mchele wa mbeya pamoja na uzuri wake bado hauko ktk orodha ya mchele bora sokoni ktk nchj zetu hizi za kusini mwa sahara???So nadhani haya maelezo yatakupa mwanga kidogo.
Mkuu vipi biashara ya mifugo ina soko kubwa dar?Usisafiri nao kipande kirefu bila chakula kizuri kwa maana watachoka na wataishiwa nguvu.
MKuu ukijua ya mbele haina maana unajua na ya nyuma,biashara zina mambo mengi,wewe unajua hilo moja.
nimeandika kwa utulivu kabisa kwamba watu wanatia mawe ktk mchele ili kuzidisha kilos,wewe unazungumzia mpunga!!!
Unaijua sababu ya kwanini mchele wa mbeya pamoja na uzuri wake bado hauko ktk orodha ya mchele bora sokoni ktk nchj zetu hizi za kusini mwa sahara???
Kwanini mkuu mchele wa mbeya hauko kwenye hiyo orodha?MKuu ukijua ya mbele haina maana unajua na ya nyuma,biashara zina mambo mengi,wewe unajua hilo moja.
nimeandika kwa utulivu kabisa kwamba watu wanatia mawe ktk mchele ili kuzidisha kilos,wewe unazungumzia mpunga!!!
Unaijua sababu ya kwanini mchele wa mbeya pamoja na uzuri wake bado hauko ktk orodha ya mchele bora sokoni ktk nchj zetu hizi za kusini mwa sahara???
Tanga hukoHujawahi kukutana na mabihindi ya Kilindi wewe.
Ukiweka stoo yanaoza yote!
Wabongo asipofanya biashara bila kukuibia haoni kama kafanya biashara.