OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
- Thread starter
- #41
Wewe unadhani watu tunaandika humu ni mazuzu? Wale jamaa wanakuruhusu uukague mchele kwa juu ni mali safi na kati kati ni mali safi ununue sasa uufikishe dukani ndio utajua hujui.Mchele mashambani kilo now 1200 kilo 100 ni 120,000 wastani,, yaani unataka kuniambia kuna mkulima anaweza punguza mchele kilo 2 au 1 alafu aweke mchanga katika kila gunia apate nini ..2400 hiyo au 1200 kwanza kilo tuu ya mchanga ukiitia katika mchele kiroba hautakua na mchele hapo na utaonekana tu,,
Uhuni na changamoto zipo katika kila biashara kikubwa umakini na ufanye biashara na watu sahihi na makini
Hata karanga ukiingia kichwa kichwa unauziwa zenye changarawe na ni ma fundi wazuri wa kufanya umafia ktk namna ambayo hutaielewa.
Suliuhisho ni kulima mwenyewe ndio uuze.