Biashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla pay back period haijafika

Hiki ndio nacho kitafuta mkuu, sasa kama ni hivyo kumbe ndege hazina makosa, sasa hapo ndege zina makosa gani. Wenye makosa waendeshaji wa shirika, kuanzia mkurugenzi hao ndio wenye makosa.
Nani kasema ndege zina makosa?
Watu wanasema aliyenunua ndege ndio kakosea kwa sababu ametumia pesa zetu za kodi kuwekeza mahali pasipoweza kutengeneza faida. Ulikuwa ni uwekezaji mbovu wa pesa za serikali.
Alinunua ndege za nini?
Nani alimtuma kununua ndege?

Tatizo la msingi la ATCL halikuwa kukosa ndege zake binafsi, tatizo liko kwenye muundo mzima wa shirika.
 
Kwa mujibubwa CAG leo...ile ripoti ni mpaka ipelekwe bungeni kuwa tabled ndipo inakuwa public document.

Nadhani bado haijafikishwa kwenye kikao cha bunge ili iwe released to the general public.
Ahsante Mkuu, ila nahitaji annual reports tokea shirika linafufuliwa kama inawezekana ili nifanye analysis as you did hapo juu..

Nahitaji nione basis ya analysis yako kuhusu positive and negative growth ya shirika letu.
 
Kabla hujafikiria payback period, tafuta kwanza kama gharama ya ununuzi au ukodishaji wa ndege umeingizwa kwenye hesabu za kampuni (mtaji). Nijuavyo ATCL haimiliki hizo ndege. Imepewa na serikali (mmiliki) kuzifanyia biashara tu. Yaani serikali inaikodisha ATCL ndege. Je, serikali inaitoza ATCL gharama ya kuzikodi kwa vipindi maalum au inawapa bure?

Kama gharama ya ndege haimo kwenye hesabu za mtaji wa kampuni basi payback period haihusiki. Hapo ni operating cost na overheads tu ndizo zinahusika. Kama ndege zimo kwenye mtaji wa kampuni, sijui kisheria watakuwa wameelezeaje umiliki wa hizo ndege huko ATCL.
 
Biashara ya ndege popote dunian ni lazima kuwe na startegies za muda mrefu na muda mfupi plus watu sahihi wa kuliendesha shirika that why even fly emirates pamoja na pesa nyingi na ushawishi walionao familia ya kifalme Al Maktoum royal family lakin bado walihitaji watu wenye uwezo kuliendesha shirika lao mtu kama Sir tim clark na sio hao wajanja wajanja wa ATCL!!!!!!
 
Hasara=biashara kujiendesha kwakutegemea vyanzo vingine.
Faida=ziada inayopatikana baada ya kutoa mtaji.
Mtaji=kianzio cha biashara.

Hapo ATCL wanatumia jasho la pesa ambazo hawazalishi wao. Yaani wameshindwa kusimamia mtaji waliopewa mpaka sasa.
 
WENXZKO WNATAKA NDGE ZIKILVYONUNULIWA ZILETE FAIDA MWAKA WA KWANZA
Mkuu faida ni pale mapato yanapozidi operating expenses kwa mwaka husika bila kujalisha mnaanza or not.

Mfano 2016 hasara lilikua $6 Million ila 2017 ikashuka mpaka $1.9 Million how on earth trend inayoonyesha improvement ghafla spikes hadi $25 Million?

Embu tusaidiane hapo.... unless ungesema covid ila kma una utetezi cjui ni mapema hiyo 2017 waliwezaje?
 

Mkuu Hizi ripoti za mahesabu nazinyaka wapi?

Kindly nisaidie.
 
Best analysis so far.... Umeeleweka 100%
 
Hizi akili nyingine jamani daaa!!ila pale ulipokuwa unaambiwa kuwa zimeleta faida ya bilioni28 hiyo payback, ilikuwa tayari?!!!
 
Magufuli alisema zinaingiza faida kibao. Kuhusu gharama za ndege hatujui maana kuna watu walipigwa risasi kisa kuhoji Bei.
 
h
hapo ndipo wanapokosea hata biashara za kawaida hazipo hivyo. Sasa yeye hiyo hasara anaipataje ndani ya hii miaka minne. ilitakiwa tupewe hesabu zinazoeleweka. Tueleze return of investiment imefika kiasi gani

Yaani hizo ndenge ni kama unapata 800. Alaf ya matengezo Na kulipa watu 1000. Hizo ndege kuna muda zinaruka bira abiria kujaa. Jiulize ile ndege kubwa inafanya kazi gani? Kuna kipindi ndege zina mwaka 1 zilipelekwa kufanyiwa matengezo ya B13. Jiulize hizo B13 waliziingiza?
 
Mbona huko nyuma tuliambiwa shirika limetengeneza faida na gawio likatoka,hiyo faida ilitoka wapi
 
Kuna hasara na pia kuna faida imetumika kulipa deni ni kauli mbili tofauti hizi mkuu
 
Kama unamaanisha Ni kubreakeven hio biashara Ni kichaa Ni liability kwa Taifa

Samia kodisha hizo ndege ili turudishe hela otherwise Ni hasara tupu

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania hatuna uchumi wa kupanda panda ndege bado. Sie tunamudu mabasi tu.
 
Wakat wa ku invest (unakuw na investment cost)
Ukianz operate business yako inatakiw aanze kukupa return hata Kama Kuna hasar iwe ndogo kwa kpnd kfup sio more than 2years+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…