Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Wataalamu wanasema ikiwa ATCL wakiweza kutengeneza wastani wa 28bilioni kila mwaka kama faida basi itawachukua miaka mia moja na uchee kuweza kufikia break through period.Payback period kwa Ndege alizonunua Magufuli ni miaka mingap?
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Tatizo umesoma oxford ghorofa ya nne...tour guide! Haya ni mambo ya financial...nenda google kama vipi!Pay back period ndo nn?
Hata kabla Ya payback period kufika , pindi unapoanza biashara na kumaliza investment zote ,na kuanza kufanya biashara, hiyo biashara inatakiwa ijiendeshe yenyewe , inatakiwa ijilipie operations cost zote , mfano ilipe mishahara Ya wafanyakazi , ununuzi Wa mafuta ,service n.kBiashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla payback period haijafika
ni vyema unapotwambia imeingiza hasara uwe unatupa na pay back period ilikua ni miaka mingapi. Na je tayari ilishafikiwa. Ila kama hiyo hasara unaikokotoa bila kutwambia payback period ilikua ni miaka mingapi hapo watanzania utawachanganya.
Mimi nadhani tungepewa hesabu nzima, tusiandikiwe tu hasara.
Tupewe pesa iliyotumika kufanya investiment ni kiasi gani kwa ndege zote.
Alafu tuambiwe kila ndege zinaingiza kiasi gani kwa mwaka.
Hiyo ndio hesabu tunayoitaka,
Mimi nacho kijua na kukielewa hiyo ni long term business ambayo inatumia higher investiment. Hivyo haiwezi kuleta faida kabla haijafikia payback period.
Twambie kwanza pay back period ilikua ni ya miaka mingapi ndipo uje na hiyo hesabu ya hasara.
Ukitwambia tu hasara hatuwezi kuelewa vizuri.
Maana bado siijui payaback period
Ipo miradi mingi mikubwa ambayo ikiianza usitegemee kupata faida ndani miaka minne, it's impossible. Tuna mradi wa LNG, huo mradi payback period yake ni ndefu sana. Tusitegemee kuja kuanza kupata faida ndani ya muda mfupi. Katika Biashara kubwa lazima uwe mvumilivu.
Mimi kiukweli ningependa kusikia tu return of investiment imefikia kiasi gani basi. Hapo ningechakachua kichwa na kujua wapi tunaelekea.
Labda biashara ya mgahawa...ulizia mtu aliyejenga nyumba ya kupangusha baada ya miaka mingapi ataanza kupata faida!Wakat wa ku invest (unakuw na investment cost)
Ukianz operate business yako inatakiw aanze kukupa return hata Kama Kuna hasar iwe ndogo kwa kpnd kfup sio more than 2years+
Acha bana , nikwambie faida hupatikana hata kabla Ya mtaji haujarudi, mtaji hurudi kutokana na faida unayoipata kila Siku , au kila mwezi au kila mwaka ,Labda biashara ya mgahawa...ulizia mtu aliyejenga nyumba ya kupangusha baada ya miaka mingapi ataanza kupata faida!
Maelezo mazuri haya kwa mleta madaTofautisha vitu viwili..
1. Return of Investment
Yaani kurudisha mtaji uliouwekeza kwenye biashara na biashara ikaendelea kuwepo.
2. Return on Investment
Yaani hapa sasa faida inaanza kuingia baadaya mtaji kurudi.
Hili la ATCL kujiendesha kwa hasara maana yake ni kuwa kwa trend inayoenda nayo, yaani operating income kuwa juu kuliko revenues(mapato) maana yake hiyo biashara haiwezi kamwe kurudisha mtaji(return of Investment)...achilia mbali kuleta faida(return on Investment)...itaenda kufa tu.
Mfano...kwa mwaka shirika litumie bilioni 100 ktk uendeshaji wa shughuli zake...kama ku service ndege..kulipa wafanyakazi n.k...baada ya kufanya kazi kwa mwaka mzima likapata mapato ya bilioni 40....hapo kuna hasara ya bilioni 60...yaani hata gharama za matumizi hazijarudi zote. Negative growth.
Hiki ndicho kinacholikumba shirika letu...linatumia costs nyingi kujiendesha..lakini mapato yanakuwa madogo kuliko matumizi. Hivyo financial statements zikiandaliwa lazima kuwe na loss...hakuna faida.
Hii ni tofauti na endapo kama ATCL ingekuwa inajiendesha kwa faida for the past 5 years...mfano kama kwa mwaka shirika limetumia bilioni 100 kujiendesha na likapata mapato ya bilioni 140 kwa mwaka...hapa litakuwa na faida ya 40 billion..positive growth.
Kuhusu kurudisha mtaji..
Biashara ambayo ina positive growth...ndiyo inaweza kurudisha mtaji na baadaye kuanza kuleta faida. Na hili linaonekana ktk hesabu za shirika za kila robo au mwaka....kuwa kuna ukuaji chanya unaoelekea kurudisha mtaji wa hela ya ndege zote na other costs
Kukiwa na profit..basi ni rahisi kupiga hesabu kuwa baada ya muda fulani mtaji uliowekezwa utarudi. Lakini hata kujiendesha kwenyewe tu ni kwa hasara...hapo sahau kurudi kwa mtaji....hela zetu za kodi ndizo zitazidi kuumia.
Nadhani kwa lugha nyingine ni breakeven time. Investment nyingi unaanza kuangalia profits kuanzia breakeven point.Ni ule muda ambao biashara yako inakurudishia fedha na gharama zote ulizowekeza wakati unaanzisha hiyo biashara. Hapo kuna gharama nyingi tu. Gharama za kununua ndege, gharama za kununulia mafuta wakati unakwenda kuzichukua, gharama za kuwalipa wafanyakazi wakati unaanza, n.k
Biashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla payback period haijafika
ni vyema unapotwambia imeingiza hasara uwe unatupa na pay back period ilikua ni miaka mingapi. Na je tayari ilishafikiwa. Ila kama hiyo hasara unaikokotoa bila kutwambia payback period ilikua ni miaka mingapi hapo watanzania utawachanganya.
Mimi nadhani tungepewa hesabu nzima, tusiandikiwe tu hasara.
Tupewe pesa iliyotumika kufanya investiment ni kiasi gani kwa ndege zote.
Alafu tuambiwe kila ndege zinaingiza kiasi gani kwa mwaka.
Hiyo ndio hesabu tunayoitaka,
Mimi nacho kijua na kukielewa hiyo ni long term business ambayo inatumia higher investiment. Hivyo haiwezi kuleta faida kabla haijafikia payback period.
Twambie kwanza pay back period ilikua ni ya miaka mingapi ndipo uje na hiyo hesabu ya hasara.
Ukitwambia tu hasara hatuwezi kuelewa vizuri.
Maana bado siijui payaback period
Ipo miradi mingi mikubwa ambayo ikiianza usitegemee kupata faida ndani miaka minne, it's impossible. Tuna mradi wa LNG, huo mradi payback period yake ni ndefu sana. Tusitegemee kuja kuanza kupata faida ndani ya muda mfupi. Katika Biashara kubwa lazima uwe mvumilivu.
Mimi kiukweli ningependa kusikia tu return of investiment imefikia kiasi gani basi. Hapo ningechakachua kichwa na kujua wapi tunaelekea.
Kuwa muelewa na wewe unachoekezwa ni Kuendesha kwa faida hiyo Biashara sio kupata faida ya uwekezaji.Labda biashara ya mgahawa...ulizia mtu aliyejenga nyumba ya kupangusha baada ya miaka mingapi ataanza kupata faida!
Miaka mitano na wewe debe kutika usijifanye una akili kuliko CAGBiashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla payback period haijafika
ni vyema unapotwambia imeingiza hasara uwe unatupa na pay back period ilikua ni miaka mingapi. Na je tayari ilishafikiwa. Ila kama hiyo hasara unaikokotoa bila kutwambia payback period ilikua ni miaka mingapi hapo watanzania utawachanganya.
Mimi nadhani tungepewa hesabu nzima, tusiandikiwe tu hasara.
Tupewe pesa iliyotumika kufanya investiment ni kiasi gani kwa ndege zote.
Alafu tuambiwe kila ndege zinaingiza kiasi gani kwa mwaka.
Hiyo ndio hesabu tunayoitaka,
Mimi nacho kijua na kukielewa hiyo ni long term business ambayo inatumia higher investiment. Hivyo haiwezi kuleta faida kabla haijafikia payback period.
Twambie kwanza pay back period ilikua ni ya miaka mingapi ndipo uje na hiyo hesabu ya hasara.
Ukitwambia tu hasara hatuwezi kuelewa vizuri.
Maana bado siijui payaback period
Ipo miradi mingi mikubwa ambayo ikiianza usitegemee kupata faida ndani miaka minne, it's impossible. Tuna mradi wa LNG, huo mradi payback period yake ni ndefu sana. Tusitegemee kuja kuanza kupata faida ndani ya muda mfupi. Katika Biashara kubwa lazima uwe mvumilivu.
Mimi kiukweli ningependa kusikia tu return of investiment imefikia kiasi gani basi. Hapo ningechakachua kichwa na kujua wapi tunaelekea.
Magufuli hakupendwa ila alilazimisha apendweWEANZAKO WATAKA KUONA FAIDA TANGIA SIKU YA KWANZA NDEGE KUNUNULIWA WALA HAEATAKI KUREASON KISA ATI HAWAKUMPENDA MAGUFURI.
Serikali ya Tanzania haijawai tengeneza faidaBiashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla payback period haijafika
ni vyema unapotwambia imeingiza hasara uwe unatupa na pay back period ilikua ni miaka mingapi. Na je tayari ilishafikiwa. Ila kama hiyo hasara unaikokotoa bila kutwambia payback period ilikua ni miaka mingapi hapo watanzania utawachanganya.
Mimi nadhani tungepewa hesabu nzima, tusiandikiwe tu hasara.
Tupewe pesa iliyotumika kufanya investiment ni kiasi gani kwa ndege zote.
Alafu tuambiwe kila ndege zinaingiza kiasi gani kwa mwaka.
Hiyo ndio hesabu tunayoitaka,
Mimi nacho kijua na kukielewa hiyo ni long term business ambayo inatumia higher investiment. Hivyo haiwezi kuleta faida kabla haijafikia payback period.
Twambie kwanza pay back period ilikua ni ya miaka mingapi ndipo uje na hiyo hesabu ya hasara.
Ukitwambia tu hasara hatuwezi kuelewa vizuri.
Maana bado siijui payaback period
Ipo miradi mingi mikubwa ambayo ikiianza usitegemee kupata faida ndani miaka minne, it's impossible. Tuna mradi wa LNG, huo mradi payback period yake ni ndefu sana. Tusitegemee kuja kuanza kupata faida ndani ya muda mfupi. Katika Biashara kubwa lazima uwe mvumilivu.
Mimi kiukweli ningependa kusikia tu return of investiment imefikia kiasi gani basi. Hapo ningechakachua kichwa na kujua wapi tunaelekea.
Miaka mi 5sio kwamba napotosha mimi nadhani tuelezwe return of investiment imefika ngapi Mimi hapo ndio nitaelewa.
Miaka mi 5 toka ziletwe sheikWENXZKO WNATAKA NDGE ZIKILVYONUNULIWA ZILETE FAIDA MWAKA WA KWANZA
Labda biashara ya mgahawa...ulizia mtu aliyejenga nyumba ya kupangusha baada ya miaka mingapi ataanza kupata faida!
inaelekea aliamini ndege biashara yake ni kama ya daladala!